Hii dhiki sasa imepitiliza

Hii dhiki sasa imepitiliza

mama jason

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Habari, naitwa Mr. Raymond from TRANSNET LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for PUBLIC RELATIONS OFFICER POST, CV yako ni nzuri nataka kukusaidia upate hii kazi kwa terms zifuatazo, salary ni tshs 1,200,000/= kwa mwezi ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 3, na kabla ya saa 11 jioni uwe umetuma sh. elfu 35 by tigopesa to 0713-765442 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye email, for now siwezi ongea mpaka badae nikitoka kikaoni na ndio muda huo utapigiwa simu lini uje for interview, jitahidi utume mapema.
 
Hyo unamwita af unamkaza tu.atakuw kalegea shit!mbulula mkubwa hajui ht kuiba.
 
Dah!!! hata mimi huyo mpuuzi kanitumia txt kama hiyo jana....:shocked:

Huwezi amini ameniibia elfu 30 huyu mbwa jina lake kamili ni raymond chilambo.leo asubuhi walinipigia simu j3 niende kwenye interview sasa najiuliza no yangu ameipata wapi?
 
Huwezi amini ameniibia elfu 30 huyu mbwa jina lake kamili ni raymond chilambo.leo asubuhi walinipigia simu j3 niende kwenye interview sasa najiuliza no yangu ameipata wapi?
Mnapo upload CV kwenye recruiting agent huwa zinaonekana kama uta-search, embu ingia zoom pekua pekua utakuta CV za watu kibao zinaonekana hivyo na wao huwa wanaingia kwenye hizi agent na kuangalia CV yako na aina ya kazi uliyoomba then wanakutafuta, btw pole kwa kuibiwa alfu 30 siku hizi mtu akikupa deal la hela alafu humjui unampotezea maana anaekufahamu tu hakupendi iweje huyo wa mbali usiemjua
 
Huwezi amini ameniibia elfu 30 huyu mbwa jina lake kamili ni raymond chilambo.leo asubuhi walinipigia simu j3 niende kwenye interview sasa najiuliza no yangu ameipata wapi?

Pole sana
 
Number yako watakua wameipata zoom kama ulishawahi ku apply kazi huko, Ila mimi hawakufanikiwa kunitapeli. So kuwa makina hawa matapeli ni wengi huwa wana tengeneza kazi na kuzi post online ili wawa tapeli watu wenye shida na ajira na kuna wakati huwa wanakupigia simu wanakuambia wanakuita kwenye interview ukienda unakuta hola...pole sana.:shocked:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom