MADIBA MANDELA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 503
- 398
- Thread starter
- #21
na mimi wala sijuiAliyemwambia akubali kutangawa kihewa hewa ni nani?
na mimi wala sijuiAliyemwambia akubali kutangawa kihewa hewa ni nani?
WEWE ACHA BANGI NA CHUKI ZA KIPUUUZI...Tell us hapa jukwaani ni WAPI watoto washule kuanzia primary mpaka secondary wanalipishwa ada??????....USITULETEE NYUZI ZA HISIA HAPA baada ya kuvuta bangi...weka ushaidi wa mahali ambapo afda zinalipishwa......Matokeo yake sasa hela hakuna elimu bure imekua mwiba
ushaidi nitapeleka mahakamani na masharti ni pale bashite nae atakapotangulia maakamani bangi sio ishu sana kama wewe umeacha ni kimpango wako usituletee povu la omo wakati mahala kibao watu wanalipia mavitu kibao heri ada ingerudi mxiuuuuuuWEWE ACHA BANGI NA CHUKI ZA KIPUUUZI...Tell us hapa jukwaani ni WAPI watoto washule kuanzia primary mpaka secondary wanalipishwa ada??????....USITULETEE NYUZI ZA HISIA HAPA baada ya kuvuta bangi...weka ushaidi wa mahali ambapo afda zinalipishwa......
WEEE BANGI KWELI...sasa unaleta vipi pumba humu hauna hata USHAIDI?????unakimbialia habari za bashite na uzi wako zinahusiana vipi?????......AVATAR YAKO INAONESHA KABSA HAUVUTAJI BANGI BALI UNAKUNYWA BANGIushaidi nitapeleka mahakamani na masharti ni pale bashite nae atakapotangulia maakamani bangi sio ishu sana kama wewe umeacha ni kimpango wako usituletee povu la omo wakati mahala kibao watu wanalipia mavitu kibao heri ada ingerudi mxiuuuuuu
HII MISEMO HUWA NI YA WATOTO WAKIKE na wewe ni mwanaume...vipi mwenzetu tushakupoteza??????mxiuuuuuu
kuna waliopotea na si lazima waseme hiyo misemo kama wewe ambae akili yako inakupelekea kufikiri huo ujingaHII MISEMO HUWA NI YA WATOTO WAKIKE na wewe ni mwanaume...vipi mwenzetu tushakupoteza??????
Elimu bure sasa ni ado ado.eeh!Tayari tulikuwa tume ona vyanzo vya pesa, na mahesabu twishapiga sasa hawa wenzetu kutaka kujiona na wao bora wakakurupuka bila kujua sisi ni mipango ipi tulikuwa nayo, sasa vichwa vinawauma na ahadi yao isiyotekelezeka ya 50m kila kijiji.
Na 2020 tutasema umeme na maji bure.
Na hiyo waje waikurupukie sasa.
michango irejeshwe tu wala hatutamfikiria vibaya na 2020 tutampaUshamba wa baba yake na Jesica ndio ulimfanya aingie kichwa kichwa kwenye kumi na nane za mtoto wa mjini Edo Lowasa. Elimu inakufa kifo cha mende. Hali ni mbaya sana. Nadhani hata mwenyewe anajuta kuzuia michango toka kwa wazazi/jamii.
mbona maeneo aloyataja mwezake kaenda na kaambulia fa fa fa fa faMbona lowasa alisema ni wapi atapata ww ulikuwa wapi
Mjomba sasa hivi wanakusanya b 4 tu majigambo kwishnes eti sisi tajiri hatutaki msaada pumbafffffffInatumika 18billions tu kwa mwezi kwa ajili ya elimu bure wakati wastani wa mapato ya mwezi ni TRA ni 1.2trillion, je kwa akili yako hiyo hela ni ya kusumbua kichwa ?
Rudi FB ndio uwezo wako ulipo.Mjomba sasa hivi wanakusanya b 4 tu majigambo kwishnes eti sisi tajiri hatutaki msaada pumbafffffff
Hii nafasi nimeiwahi nije kucomment baadae....Comment za mwanzo mwanzo huwa na likes nyingi sana....