4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,208 Reaction score 8,310 Apr 1, 2024 #1 Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?
Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,391 Reaction score 196,123 Apr 1, 2024 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,806 Reaction score 17,923 Apr 1, 2024 #4 Sio yale madishi ya zamani ambayo yalikua hamna kulipia? Tulikua tunayaitaga ungo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,259 Reaction score 185,170 Apr 1, 2024 #5 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Bila shaka wameshampa mwongozo
Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Bila shaka wameshampa mwongozo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,259 Reaction score 185,170 Apr 1, 2024 #6 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Bila shaka wameshampa mwongozo
Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Bila shaka wameshampa mwongozo
sqianne JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 521 Reaction score 1,060 Apr 2, 2024 #7 GTV. Ni miaka ya 2008 ila walishindwa kazi mkaburu akarudi Kwa utawala wake.
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,960 Reaction score 17,042 Apr 2, 2024 #8 sqianne said: GTV. Ni miaka ya 2008 ila walishindwa kazi mkaburu akarudi Kwa utawala wake. Click to expand... duuh kwaio mwana aitupe tu ?
sqianne said: GTV. Ni miaka ya 2008 ila walishindwa kazi mkaburu akarudi Kwa utawala wake. Click to expand... duuh kwaio mwana aitupe tu ?
Mr DIY JF-Expert Member Joined Dec 24, 2016 Posts 1,225 Reaction score 2,670 Apr 2, 2024 #9 4by94 said: Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes? View attachment 2950459 Click to expand... Gtv kitambo sana, sijui kama dekoda zake waweza pata huduma kwa sasa
4by94 said: Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes? View attachment 2950459 Click to expand... Gtv kitambo sana, sijui kama dekoda zake waweza pata huduma kwa sasa
Barieda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 1,811 Reaction score 2,483 Apr 2, 2024 #10 Hiyo naijua inatumia wire wa kawaida sana, unafunga juu kwenye msumari wa pazia la mlangoni, yaani haiscratch hata kidogo. Na inashika chanel zote.
Hiyo naijua inatumia wire wa kawaida sana, unafunga juu kwenye msumari wa pazia la mlangoni, yaani haiscratch hata kidogo. Na inashika chanel zote.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,046 Apr 2, 2024 #11 Barieda said: Hiyo naijua inatumia wire wa kawaida sana, unafunga juu kwenye msumari wa pazia la mlangoni, yaani haiscratch hata kidogo. Na inashika chanel zote. Click to expand... Mmh. Ni kweli?
Barieda said: Hiyo naijua inatumia wire wa kawaida sana, unafunga juu kwenye msumari wa pazia la mlangoni, yaani haiscratch hata kidogo. Na inashika chanel zote. Click to expand... Mmh. Ni kweli?