Hii dawa ya mseto mbona vituko!!!!

Boutafrica

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
953
2,070
Hii ni kama mara ya tano sasa kila ninapojiskia malaria madaktari hunishauri kutumia dawa ya malaria ya mseto,ila cha ajabu kila ninapomeza dawa hii ya mseto hamu ya kufanya mapenzi huwa ipo juu sana kuliko kawaida hali ya kuwa ninaumwa hadi wife huwa anashangaa kwa nini ninaumwa lakini perfomance iko juu kuliko siku za kawaida,Pia mashine inasimama kila dakika,Lakini pia huwa nakula sana Sasa je hili ni tatizo au hizi dawa zina nini? na je ni mimi tu pekee yangu?
 
Mkuu utasababisha watu waanze kuzitumia bila kuwa wagonjwa sasa. Maana siku hizi watu wakiambiwa kitu fulani kinaongeza nguvu ya lile tendo pendwa hawajiulizi mara mbili hasa na huo ushuhuda wako sijui.

Ila mimi nikitumia hizo dawa huwa navimba usoni kama nimeng'atwa na nyuki vile so siwezi kabisa kuzimeza.
 
Mi nikiwa nataka kuachia nyingi nakunywa vidonge vitano tu, shughuli yake si ndogo
 
Leo nameza viwili japo sina homa wala Malaria halafu nione!
Mkuu Mimi sijatoa ushuhuda ila nimeuliza tu wataalam waniambie hii imekaaje? binafsi sikushauri kabisa ufanye hayo majaribio Hizo Ni dawa mkuu huenda kwako ikawa madhara.Sikushauri kabisa.
 
Oya acha utani na afya za watu...mimi nimeuliza tu nipate kujua kwanini hali hii inanitokea so acha kushauri watu mambo ya hatari haikuongezei chochote.
 
Back
Top Bottom