Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,349
- 3,313
Mkuu huyu ni wakiume, sio vumbi la congo hili kweli?Huo unga ni mbadala wa KY.
Changanya na maji kidogo na majani ya mkasi kasi (naamini kuna sehemu kauficha) utelezi wake KY mchba tu.
Hutumika kuzalishia mara nyingi, mzazi anapakwa mtoto anatoka bila tabu.
Hujatuambia iwapo ndogo wako amekataa kukuambia ni dawa gani?Andaa MAZIWA na DEMU kisha uonje..
Incase ikiwa ni SUMU au VUMBI LA KONGO
Unahisi hana nguvu za kiume?
NifafanulieUnahisi hana nguvu za kiume?
Pia utelezi una kazi nyingi.
Picha ya kichupa iliyowekewa dawa za kienyeji, wawezaje kubaini ukweli usiotia shaka juu ya ushuhuda huu unaotutolea hapa kwamba kilichomo ndicho?Hiyo ni NGOKA. Dawa ya magonjwa kama yote vile ni kinga pia ya mwili. Unachemsha maji unakoroga kwenye kikombe cha chai unabwia. Trust me
Mundende,Puturu,Kiboko ya.... Mdogo wako nomaNimeikuta chumbani kwa mdogo wang,alirud likizo kwasasa amerejea shuleni, , naomba mwenye kujua hii dawa kazi yake nini ,
Samahanini lakiniView attachment 844227View attachment 844228
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa shaka mkuu mimi naijua hiyo dawaPicha ya kichupa iliyowekewa dawa za kienyeji, wawezaje kubaini ukweli usiotia shaka juu ya ushuhuda huu unaotutolea hapa kwamba kilichomo ndicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakike au wa kiumeNimeikuta chumbani kwa mdogo wang,alirud likizo kwasasa amerejea shuleni, , naomba mwenye kujua hii dawa kazi yake nini ,
Samahanini lakiniView attachment 844227View attachment 844228
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wewe uliniibia ovatar yangu hadi umenifanya nikabadilisha
Kitu cha ngooka eleven.. umenikumbusha mbali kweliHiyo ni NGOKA. Dawa ya magonjwa kama yote vile ni kinga pia ya mwili. Unachemsha maji unakoroga kwenye kikombe cha chai unabwia. Trust me
Soma direction kwenye chupa mkuu,lazima kiwanda kilichozalisha kimeandika matumizi yake.Nimeikuta chumbani kwa mdogo wang,alirud likizo kwasasa amerejea shuleni, , naomba mwenye kujua hii dawa kazi yake nini ,
Samahanini lakini
View attachment 844230View attachment 844231
Sent using Jamii Forums mobile app