Hii daladala ya wapi?

kadagala1

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
5,977
6,271
d4fb9f21bcb6a6a60668a0845a66a2c4.jpg
 
Wafunnge tu shuka au taulo hapo mlangoni!... Watauokota mara ngapi?!... Sisi huku uswahilini tunafunga taulo tu... hata mlango wa choo sembuse wa daladala!....
 
Barabara yenyewe mtihani, mlango dhaifu utaacha kuanguka? Na bado, inafuata engine.....
 
Duuuuh mkuu hii picha umeitoa wap maana inaonekana ni ya kitambo sana yaan kipindi hicho vipanya vinapiga ruti za ubungo segerea, Buguruni ubungo maana ni zaidi ya miaka kumi aisee, au na ww upo hapo kipindi hicho ulikuwa konda ukapiga picha ili uweke ukumbusho
 
Hahaha hapana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom