Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

seyf22

Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
84
Reaction score
21
IMG_20160920_090601.JPG

Jamani naomba mnisaidie hii course ina husiana na nini na je mtu wa HGE anaweza soma??
Ipo UDOM
 
JAMANI NAOMBA MNISAIDIE HII XIM COURSE INA HUSIANA NA NINI NA JE MTU WA HGE ANAWEZA SOMA?? IPO UDOM
Multimedia ni pana sana.. MEDIA najua una faham maana yake, na MULTI pia unafaham.. Katika multimedia utasoma jins ya ku combine texts, picha, graphic, sound etc.. E.g ANIMATION utajifunza kuhusu uandaaji wa cartoon na kuwafanyia ANIMATING(wafanye vitendo like ku-move, kuongea yaan kama films tu!! )so kuna computer maalum kwa ajili ya kufanyia hivo v2.. Katika multimedia pia, unaweza ukasoma vi2 kama GRAPHIC DESIGNING, SOUND ENGINEERING, FILM TECHNOLOGY e.t.c.na katika suala lako la masomo sina uhakika ila mara nying huwa naona PCM ndo wanasoma,,, iam not sure maana huwa kuna calculations, plus DIMENSIONS ( kuna v2 kama 3D, 2D kama uliwahi sikia sikia, so obvious lazma uwe umesoma maumbo). Unaweza tumia cheti chako cha O-level pia kama ulifanya vizur upande wa science.
 
NIMEFAURU TN VZR TUU O LVL SCIENCE
 
Dooh
Mimi nmeomba hyo coz 2nd selection
Ukweli siijui vizur wala cjawahi kuisikia je inajapo uwanja kidogo baada ya kugraduate iwe kujiajiri au kuajiriwa
Na pia mfano ukitaka kujiajiri sanasana utakua unadeal na pande zipi
Nakuajiriwa unafocus hasa sekta zipi
Nipe mwongozo Mr kama unaifahamu kidgo
 
Inategemea unataka kusoma nini? kama nlivosema MULTIMEDIA ipo wide sana.. Na katika suala la wapi utaajiriwa? Au wapi hasa utafanya kazi..? Now days industries nyingi sana.Mfano broadcasting industry i.e RADIO&TV unaeza ukaitwa kufanya setting za sound as Techinician person( namaanisha sound engineer).Animation industry. Mfno (kutengeneza games, movies, cartoons e.t c). utafanya kazi kweny industry za kufanya advertisement ( kuandaa matangazo na kufanya graphic designing). Kumbuka uki graduate teari unakua techinician,nguvu kubwa unayo wew katika kufanya kazi na una possibility kubwa ya kujiajiri,what only you need'are equipments.

Revo mbonq umejibu vizuri hili ukiwa kma unauzoefu nalo ila ninchoshangaa wew ulishawahi kuanzisha uzi kuhusu hyo tena umechaguliwa juzi tuu diploma DIT inakuaje hapo. Sisi tutakuamini vip
 
pale juu kuna jamaa kapotosha ..huwez kuwa sound engineer kwa kusoma hii kitu ..utaishia kama yule jamaa mtengeneza katuni za Mama Ndege wa TBC .....achana nayo hii kitu....
 
Sodoka uko vizuri..
Kwahyo sound engineer wakoje na wanasoma nni
 
Revo mbonq umejibu vizuri hili ukiwa kma unauzoefu nalo ila ninchoshangaa wew ulishawahi kuanzisha uzi kuhusu hyo tena umechaguliwa juzi tuu diploma DIT inakuaje hapo. Sisi tutakuamini vip
Said... Unajua sio kila kitu lazma ufundishwe.. Then kama unapenda kitu always unakua keen kufaham kuhusu hicho kitu...
 
Back
Top Bottom