Lishatoka kumbe? Shemeji kapafomu au katoa boko?Jamani maoni yenu kuhusu hili dude, naliona.
Lina matusi mno
Haifai kwa watoto
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Lishatika naliangalia hapa.Lishatoka kumbe? Shemeji kapafomu au katoa boko?
Naweza kulidownload usiku huu huu via my Gadget?
Yea waweza downloadNaweza kulidownload usiku huu huu via my Gadget?
Daaah! Natafuta free download app sipati... Unaweza nisaidia any free download link.
Download torrent app kwanzaDaaah! Natafuta free download app sipati... Unaweza nisaidia any free download link.
Torrent app nnayo... Nnaitumiaga kwenye pirates bay, kumbe nnaweza kuswitch na kutumia kwenye hiyo nyingine ya 1377x.Download torrent app kwanza
Afu nenda 1377x uitafute huko
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
SureTorrent app nnayo... Nnaitumiaga kwenye pirates bay, kumbe nnaweza kuswitch na kutumia kwenye hiyo nyingine ya 1377x.