Mimi ni mpenzi sana wa movies za actions..sasa kuna hii chanel ya CTN ipo kwenye kin'gamuzi cha star times, inajitahidi sana kuweka hizi movie ikifika usiku...dah wabarikiwe sana...
Na ni free chanel, sijui mmiliki wake ni nani!!!
Owner wa CTN ndo mwenye DTV & CHANNEL TEN, Lakini haiko free, ni pay TV, kwenye Startimes I think ipo kwenye kifurushi cha Mambo ..
Siku hizi ni bure
owner wa ctn ndo mwenye dtv & channel ten, lakini haiko free, ni pay tv, kwenye startimes i think ipo kwenye kifurushi cha mambo ..