K Kigodoro JF-Expert Member Apr 25, 2014 1,660 1,679 Dec 28, 2016 #2 Huo ugonjwa unapaswa kusambaa kwa haraka miongoni mwa watumishi wa umma, maana siku za nyuma waligeuza ofisi kuwa mali zao na sehemu ya kupigia dili.
Huo ugonjwa unapaswa kusambaa kwa haraka miongoni mwa watumishi wa umma, maana siku za nyuma waligeuza ofisi kuwa mali zao na sehemu ya kupigia dili.
kishaija JF-Expert Member Jul 11, 2015 1,049 1,197 Dec 28, 2016 #4 Umefurahishwa hapo mkuu ili nami nijaribu kufurahi?