kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Ndugu wanajamvi
Hizi Bomoa Bomoa za serikali katika nchi hii sasa zimevuka mipaka
Nimeshuhudia katika taarifa ya habari ITV wananchi wa MIVINJENI wakibomolewa nyumba zao chini ya ulinzi mkari wa polisi huku waziri akitoa maelezo yasiyokamilika kwanza kabisa tuelewe yafuatayo
1. Wananchi wamesema wameambiwa wamepewa viwanja kule KIMBIJI huku wakiwa bado hawajaonyeshwa viwanja hivyo lakini cha ajabu wamebomolewa nyumba zao ghafla
2. Majibu ya waziri anasema wote waliobomolewa nyumba zao waende KIMBIJI huku akijua kabisa watu hao hawajajenga hayo makazi yao mapya na pia hawajui viwanja vyao pia tukumbuke mama Anna Tibaijuka alipokuwa shirika la Habitat alikuwa mtetezi wa wananchi juu ya makazi lakini sasa ameishasahau amekuwa mkandamizaji.
3. Hawa wananchi nyumba zao zimebomolewa huku vitu vyao vya thamani vikipondwa pondwa na mabaki ya nyumba zao sijui kama kitendo hiki kinafuata haki na sheria za raia wa nchi hii na mwisho tutawaona hawa hawa viongozi wa serikali wanatoa mahema na vyakula eti kusaidia.
4. Tunaomba jumuia na tume za haki za binadamu zitolee tamko juu ya matenda haya ya kikatili kwani yameishafanyika maeneo mengi kama vile Kule Dodoma, eneo la Tabata Dampo Nk.