Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Nimeshtushwa Tangazo la nafasi za kazi ya wadada wa masaji na escort. Wadau mnitoe tongotongo hii biashara inaruhusiwa kiasi cha mtu kutangaza kazi wazi hivi?
Ona baadhi ya maneno ya tangazo hapo chini
Neema Massage & Escort Services ni kituo kinacho jihusisha na kutoa huduma ya masaji na escort.
Kituo kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo :