Hii bia ya Eagle hii!

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,634
7,010
Niko baa moja hapa Kahama iko nje kidogo ya mji,naona vijana wanaagiza bia hii inaitwa eagle kwa wingi sana.Mi nikahisi huenda ni bonge la bia,nikauliza muhudumu,loh!Kumbe ni bei yake ni 1000/=tu!Kumbe mambo yatasonga!
 
Safi TBL. Hawa wa viroba si wahamie huko.

Onyo: Ole wake ampaye mwenzake kilevi.
 
Dege John hilo! sio ishu sana habari kamili ni kitu balimi inayofulumia, expire date 31/12/2016 daadek lazima ukae!!!
 
Hiyo bia ya zamani sana, but ilikuwa ikiuzwa hasa Kilimanjaro na Arusha!
Mikoa mingine walikuwa hawaijui kabisa, naona kutokana na hali ilivyo sasa wameamua kuisambaza nchi nzima!
 
Niko baa moja hapa Kahama iko nje kidogo ya mji,naona vijana wanaagiza bia hii inaitwa eagle kwa wingi sana.Mi nikahisi huenda ni bonge la bia,nikauliza muhudumu,loh!Kumbe ni bei yake ni 1000/=tu!Kumbe mambo yatasonga!

Mambo ya Kikombe hayo! Uchumi umebana! Hata huku dar eagle IPO! Inapimwa kwenye kikombe! Kipo cho 1000 na cha jero pia
 
Kwani siku kama hizi mkitulia na familia zenu na kunywa vinywaji vyepesi kuna ubaya wandugu?.
Hakuna starehe nzuri kama kushiriki furaha na familia...
Hata hivyo ni mawazo yangu,sio lazima kuyachukua!.
 
Ni sawa ila watoto nao wanahitaji uhuru kidogo
 
Niko baa moja hapa Kahama iko nje kidogo ya mji,naona vijana wanaagiza bia hii inaitwa eagle kwa wingi sana.Mi nikahisi huenda ni bonge la bia,nikauliza muhudumu,loh!Kumbe ni bei yake ni 1000/=tu!Kumbe mambo yatasonga!
Mtakunywa mpaka mikojo mwak huu
 
Back
Top Bottom