Unanikumbusha machungu, nilishawahi kula za uso kutoka kwa kakaye mwafulani baada ya kunasa barua yangu kabla ya kumfikia mlengwa..
Sintakuja kumsahau BARADHULI yule......
hahahahahaha na wewe ulikua hauko makini lol.Unanikumbusha machungu, nilishawahi kula za uso kutoka kwa kakaye mwafulani baada ya kunasa barua yangu kabla ya kumfikia mlengwa..
Sintakuja kumsahau BARADHULI yule......
hahahahahaha kweli zamani ilikua raha......dah nshakamatwa na barua mie na kichapo nimepewa sana
shukrani kwa alieleta simu!!!!
Hakika mkuu umenikumbusha mbali sana, niliwahi kumuandkia njiwa wangu alikuwa akisoma weruweru bahati mbaya sana alikuwa kwenye hatua za kunikataa. Aliponijibu majibu yangu headmaster akafungua na kuisoma na kwa sababu alikuwa akinichukia sana akaja nayo paredi na kuisoma mbele ya wanafunzi wenzangu! Hakika nilishushuliwa sana kwani majibu yenyewe hayakuwa positive, baadaye nikapokea kichapo na kurudishwa nyumbani nikamlete mzazi aelezwe mambo ninayofanya shuleni! Mzee alikuwa mjeshi baada ya kuja alianianza kwa boot na kuishia na makofi; kamwe sitasahau siku hito katika maisha yangu.:A S kiss::nod:
hahahahahahaha..umekumbuka nini?@marejeshoHe he he he....Wale wa Old Moshi na Umbwe Sec miaka ya 94-98 mpo ?
Ndiyo maana naamini ule msemo wa wahenga, "ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi" Pole sana Kaka.Unanikumbusha machungu, nilishawahi kula za uso kutoka kwa kakaye mwafulani baada ya kunasa barua yangu kabla ya kumfikia mlengwa..
Sintakuja kumsahau BARADHULI yule......
ha ha ha pole sana mwenyewe ukairemba na makopakopa