Hubu angalia hii kazi ya wenzetu na ulinganishe na tunachokifanya sisi. Naona kama tumekaa kisiasa zaidi. Nikiangalia linalofanyika sipati picha.
You are saying it's next to impossible sio?Mkuu kwa Bongo kufikia hapo..labda Rais awe Dovutwa au Hashimu Rungwe..