kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Sep 29, 2012 #1 Habari za jioni wadau wa jf, niko bar moja hapa tabata ni balaa kuanzia counter, wahudumu mpaka jikoni kote ni wanaume tena madingi.
Habari za jioni wadau wa jf, niko bar moja hapa tabata ni balaa kuanzia counter, wahudumu mpaka jikoni kote ni wanaume tena madingi.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Sep 29, 2012 #2 Sasa wewe umefuata wahudumu wa hiyo baa au umefuata ulabu,kama umefuata wahudumu basi hamia sehemu nyingine ila kama shida yako ni ngwasuma endelea tu..
Sasa wewe umefuata wahudumu wa hiyo baa au umefuata ulabu,kama umefuata wahudumu basi hamia sehemu nyingine ila kama shida yako ni ngwasuma endelea tu..
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Sep 30, 2012 #3 Koleza ulabu kichwani afu gusa masaburi yao. Atakae kasirika unamwambia samahani nimelewa nilifikiri wewe ni dada flani wa bar flani.
Koleza ulabu kichwani afu gusa masaburi yao. Atakae kasirika unamwambia samahani nimelewa nilifikiri wewe ni dada flani wa bar flani.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,341 Reaction score 111,583 Sep 30, 2012 #4 Hutaki na wateja wa kike nao wale kwa macho?
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Sep 30, 2012 #5 kivyako said: Habari za jioni wadau wa jf, niko bar moja hapa tabata ni balaa kuanzia counter, wahudumu mpaka jikoni kote ni wanaume tena madingi. Click to expand... Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani?
kivyako said: Habari za jioni wadau wa jf, niko bar moja hapa tabata ni balaa kuanzia counter, wahudumu mpaka jikoni kote ni wanaume tena madingi. Click to expand... Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani?
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Sep 30, 2012 Thread starter #6 Mphamvu said: Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani? Click to expand... Km wewe.
Mphamvu said: Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani? Click to expand... Km wewe.
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Sep 30, 2012 Thread starter #7 Mphamvu said: Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani? Click to expand... Km wewe, kwi! kwi! kwi!
Mphamvu said: Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani? Click to expand... Km wewe, kwi! kwi! kwi!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Sep 30, 2012 #8 Wajad said: Koleza ulabu kichwani afu gusa masaburi yao. Atakae kasirika unamwambia samahani nimelewa nilifikiri wewe ni dada flani wa bar flani. Click to expand... Hahahaha we Wajad unataka mwenzio ang'olewe majino bila ganzi eeh? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wajad said: Koleza ulabu kichwani afu gusa masaburi yao. Atakae kasirika unamwambia samahani nimelewa nilifikiri wewe ni dada flani wa bar flani. Click to expand... Hahahaha we Wajad unataka mwenzio ang'olewe majino bila ganzi eeh?
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Sep 30, 2012 Thread starter #9 Mphamvu said: Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani? Click to expand... km wewe, kwi! kwi! kwi!
Mphamvu said: Kaazi kweli kweli, wewe unapenda wanaume wa aina gani kwani? Click to expand... km wewe, kwi! kwi! kwi!