Hii bank imenitisha!!!wapendwa

marketing and attracting potential business loan clients

• conducting on-site business and risk assessment of loan applicants

• preparing loan proposals and presenting them in a credit committee

• loan monitoring and recovery.

KIRAKA

kwa kazi waliyotangaza hizo requirements ni sahihi kabisa.

NASIKIA KICHEFUCHEFU SASA NA GRADUATES WANAANYA NINI NENDA BOT &BANKS UONE HIZI KAZI KAMA ZINAFANYWA NA MAHGIRL..OR FORM SIX.USIWAFANYE WATU WAJIZALILISHE JAMANI KAMA UNA DEGREE YAKO VALUE IT USIKIMBILIE KAZI ILIMRADI KAZI ELSE AKUNA UMUHIMU WA KUSOMA AMA TUNGETOKA CHUO TUKAENDA KUMBA KAZI ZA NYUMBAN KWA WAHINDI HUU UMASKINI USITUZALILISHE HATA SIKU MOJA
Tusiwalazimishe kuuwa mbu kwa bomu!!

Mshahara mbuzi, hiyo ndio hoja.

Huezi ukaishi kwa laki moja unusu ktk jiji kama la Dar, halafu ukiulizwa wafanya wapi kazi, eti benki..benki gani imechoka hivo? huo utakuwa ni ujuha. It does not matter anayelipwa hiyo hela mbuzi ana elimu gani..haikidhi matakwa ya maisha ktk commercialised city of our bongoland..PERIOD.

Hao wanakuja kuvolunteer waulize nani anakava mahitaji yao wanapovolunteer na useme kwa kiasi gani..usilete masikhara bana..hii sio Ulaya au Merekani, this is bongoland, tunazo challenge tofauti, na kukariri wanachofanya wengine haitosaidia.

BTW, Serikali inabidi izitupie jicho hizi kampuni za kigeni, maana sioni kama jamii inafaidika chochote na uwekezaji uchwara kama huu.

Nahisi mshikaji unachuki binafsi na huna facts katika hili....usifate mkumbo tu do just a simple reseach utoke na facts. Sikweli kwamba hii Bank inalipa TZS 150,000, inalipa zaidi ya hapo na wafanyakazi wana additional monthly bonuses and allowances kitu amabacho ni organizations chache zinatoa. Kuna loan officers wanafanya kazi hapo ambao nimezungumza nao na wanasema sometimes wana pata bonus peke yake nje ya mshahara mpaka TZS 400,000 ......ukiacha allowance zingine

Tatizo moja nililoliona ni kwamba atanzania hawaja zoea perfomance based pay system ambapo benefits zinakuwa direct linked na productivity ...na hili ni tatizo kwa sababu no way out huko ndiko tunakoelekea kwasasa na makampuni mengi yana adopt hiyo system. Kifupi hii bank inalipa vizuri, basic pay ni zaidi ya kiasi unachotaja hapa, napia bonus system yao haina cap you can earn as higher as you perform. Hizi ni information toka kwa baadhi ya wafanyakazi wao.

Ila inasemekana kunawafanya kazi walifukuzwa for poor performance and intergrity issues, posibly ndio wanao tuma hizi posts.Tusipotoshe ukweli na kuwavunja moyo wadogo zetu wanaotafuta kazi....This is free market you have the right to choose your employer and employers have the same right to choose whom to work with..... Semeni ukweli!!sio kuleta posts zinazopotosha watu hapa!!
 
Mi nadhani suala la ku cut down costs ili kupata super profit ndiyo limezingatiwa sana hapa nothing else.Employing a degree holder or advanced diploma holder is considered to be expensive to them,hii siyo sawa coz sidhani kama mtu wa form six au four anaweza kufanya credit analysis ambayo ni ya uhakika kwa mteja anayeomba mkopo,its a tough work to do,i am doing it at my working place so i knw what am talking about,na degree niliyonayo ya BA still i had to undergo a very heavy training on credit na zoezi endelevu.Mtazamo wangu ni kwamba,these guys are after cheap labours which is a very poor strategy and surely it will cost them in the long run.Ni hayo tu wadau
 
Nahisi mshikaji unachuki binafsi na huna facts katika hili....usifate mkumbo tu do just a simple reseach utoke na facts. Sikweli kwamba hii Bank inalipa TZS 150,000, inalipa zaidi ya hapo na wafanyakazi wana additional monthly bonuses and allowances kitu amabacho ni organizations chache zinatoa. Kuna loan officers wanafanya kazi hapo ambao nimezungumza nao na wanasema sometimes wana pata bonus peke yake nje ya mshahara mpaka TZS 400,000 ......ukiacha allowance zingine

Tatizo moja nililoliona ni kwamba atanzania hawaja zoea perfomance based pay system ambapo benefits zinakuwa direct linked na productivity ...na hili ni tatizo kwa sababu no way out huko ndiko tunakoelekea kwasasa na makampuni mengi yana adopt hiyo system. Kifupi hii bank inalipa vizuri, basic pay ni zaidi ya kiasi unachotaja hapa, napia bonus system yao haina cap you can earn as higher as you perform. Hizi ni information toka kwa baadhi ya wafanyakazi wao.

Ila inasemekana kunawafanya kazi walifukuzwa for poor performance and intergrity issues, posibly ndio wanao tuma hizi posts.Tusipotoshe ukweli na kuwavunja moyo wadogo zetu wanaotafuta kazi....This is free market you have the right to choose your employer and employers have the same right to choose whom to work with..... Semeni ukweli!!sio kuleta posts zinazopotosha watu hapa!!

Ila inasemekana kunawafanya kazi walifukuzwa for poor performance and intergrity issues, posibly ndio wanao tuma hizi posts.Tusipotoshe ukweli na kuwavunja moyo wadogo zetu wanaotafuta kazi....This is free market you have the right to choose your employer and employers have the same right to choose whom to work with..... Semeni ukweli!!sio kuleta posts zinazopotosha watu hapa!!

POLE SANA KIJANA ;MI NIKO INDUSTRY NYINGINE KABISA NA BANK,NIMEONA HILI TANGAZO KWENYE WEB NKAONA NI VYEMA WATU WAJUE WANAPELEKA PESA KWA NANI...UNAJUA ALIEWEKA DEGREE NA FORMSIX AKUWA MJINGA.NDIO MANNA NIMEKUELEKEZA HAPO JUU..IN SHORT NAHUSIKA NA AIRLINE INDUSTRY KAMA UNA SHIDA NA MAMBO HAYO UNA KABINTI CHAKO UNATAKA KAWE AIRHOSTELL CONTAC SOON..INGAWA NINA DEGREE YA BBA GENERAL NDANI YA INDUSTRY ..KARIBU SANA .......
TUTOE MAJIBU YA KUELEMISHA KESHO KUTWA TUNAITAJI KUWA NA WATU CAPABLE NA SI MJOMBA MTOTO WA SHANGAZI TUKAISHIA KUUA MASHIRIKA YETU NA MABANK YETU..NINA MIAKA 10 KAZINI SIJAWAH KUFUKUZWA SO
 
Nahisi mshikaji unachuki binafsi na huna facts katika hili....usifate mkumbo tu do just a simple reseach utoke na facts. Sikweli kwamba hii Bank inalipa TZS 150,000, inalipa zaidi ya hapo na wafanyakazi wana additional monthly bonuses and allowances kitu amabacho ni organizations chache zinatoa. Kuna loan officers wanafanya kazi hapo ambao nimezungumza nao na wanasema sometimes wana pata bonus peke yake nje ya mshahara mpaka TZS 400,000 ......ukiacha allowance zingine

Tatizo moja nililoliona ni kwamba atanzania hawaja zoea perfomance based pay system ambapo benefits zinakuwa direct linked na productivity ...na hili ni tatizo kwa sababu no way out huko ndiko tunakoelekea kwasasa na makampuni mengi yana adopt hiyo system. Kifupi hii bank inalipa vizuri, basic pay ni zaidi ya kiasi unachotaja hapa, napia bonus system yao haina cap you can earn as higher as you perform. Hizi ni information toka kwa baadhi ya wafanyakazi wao.

Ila inasemekana kunawafanya kazi walifukuzwa for poor performance and intergrity issues, posibly ndio wanao tuma hizi posts.Tusipotoshe ukweli na kuwavunja moyo wadogo zetu wanaotafuta kazi....This is free market you have the right to choose your employer and employers have the same right to choose whom to work with..... Semeni ukweli!!sio kuleta posts zinazopotosha watu hapa!!

Nawezaje kuwa na chuki binafsi na watu ambao wala siwajui*na wala sina shida ya kuwajua* na wala sina hata habari whether they exist or not? In fact they can all go to hell, i wouldn't mind.

Hiyo 150,000 Tsh imekuwa mentioned na ndio nilikuwa narespond hapo kwamba hiyo ni peanut ,thats a fact, hakuna kumung'unya maneno. Mimi sio source ya habari na sijasema popote kwamba ninao ushuhuda wa hiyo 150,000 Tsh..k?

Nikionacho ni wewe kuspin in cycles..kwanza umesema magraduate sijui wanapenda mishahara mikubwa *your first reaction* sasa unaruka kimanga na kusema ati Access benk inalipa vizuri tu, eti umeongea nao..I am not interested with that crap.k? Unezungumza mengi sana ambayo sikuwa nimeyagusia sijui mambo ya kazi za kujitolea sijui magraduate kupenda mishahara mikubwa..sasa nimekujibu hapo halafu unanambia nina chuki, chuki ya nini?

Benki makini haiezi kuajiri F6 leaver kwene kazi za desk..labda manual kama usafi etc..najua mnatumia kigezo cha 'soko huria' na serikali dhaifu inawapa free ride kwa sasa, lakini don't come here and say 150,000Tsh inatosha au magraduate wanataka mishahara mikubwa ..yes, wanatakiwa mishahara itakayowawezesha walipe bodi ya mikopo na kusomesha wadogo zao na kuishi maisha walau ya wastani.

Hiyo Chinese-labor style, ya kuajiri watu wasio na sifa na kuwalipa kiduchu ina ukomo wake, na its matter of time tu kabla body za usimamizi kwene mambo ya fedha hazijapiga hodi kuhakikisha kazi professionals zinafanywa na wataalamu waliosomea na wenye sifa stahili..

Haya kawaambie mabosi wako.
 
ABDULAHIM
Natafuta sehemu ya kuweka Thanks ya Pili siioni Mod tuwekee ziwe mbili bana unakosesha uhondo
unajua mtu kama huyu anabishana na wewe mkuu ujue hata hiyo degree kwake ni ukahaba..nikiimanisha kama mtu achuakiavyo ukahaba watu hawa waliamua kukimbia umande na kutajia usemi wa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA..nani kamwambia..unaweza shangaa mtu anapiga kelele ya uudegree ati wanataka mishahara mikubwa ni kweli inategemea umeipataje jinsi nilivyo kamua usiku wa manane naitaji kupanga mshahara ninaotaka lakini kama umevua chupi uwezi ona umuhimu wa degree ndio maana mtu anadiriki kuikashifu wengine tumepata degree tukapeleka HR kesho yake unapokelewa na barua ya New mshara unaweza pata umuhimu wake..isitoshe Masters muhimu zaidi kama ninavyoikamua hope ntamaliza lakini wewe ulietumwa kukashifu pole.....sana
 
Thats very true man,office attendant at my bank analipwa tsh 450,000/= hata form four hajamaliza,sasa mi graduate wa bachelor nawezaje kulipwa 150,000???Its stupid,hata mtu wa certificate hastahili kulipwa hiyo hela.
 
I dont see anything wrong with that.Besides you never this might be temporary jobs and they might not be demanding a graduate education level.Hebu tuwe was kweli hata kama you're being paid 50,00 tsh per month come one i dont think there is anyone hata kama ni baba yako will be capable of giving this money for free even to his lovely child who doesnt work.I mean dont you guys think there are people who are in desperate need for any sort of income?.Have you ever of breakeven? Hata kama ni wewe una kaduka chako huwezi kumlipa mfanyakazi wako alot of money wakati hujaanza kupate profit. Myself i dont see anything wrong at all with it.The thing is mtu anapata hata sehemu ya kujishikiza kwa muda at least anaweza kujinunulia personal things kuliko kutegemea wazazi.After sometimes akipate better job anakwenda.Please let's look at the positive side of it not crashing anything bila kufikiri they are at least helping alot of people out their.Put yourself in the shoes of this desperate boys/girls mtu hata hela ya sabuni hana why woudnt take it.I mean tusipende kukosoa vitu tu bila kuangalia the positive side of it.

yap, na kila chenye faida kina hasara,
 
...Mimi sioni tatizo na hilo tangazo wala hatupaswi kuwalaumu. Kila mtu kutokana na elimu yake, uzoefu na skills anatambua thamani yake mbele ya muajiri. Kuna watu wanakataa kazi za mshahara wa 4 milion and they are just bachelor degree holders; they just say im worth more than that! Hivyo wale form six leavers watakaoona they worth more than 150,000/= waachana na ACCESS wakatafute stahili zao, lakini je wapo wangapi???? Mtumishi wa serikali mwenye degree 1 anayeanza kazi (ondoa madaktari na wanasheria, na wafanyakazi kwenye agencies kama TCRA, TEMESA etc ) hakuna anayelipwa more than 350,000/= (you can correct me if this is an old information) Sasa waajiri wanatumia takwimu kama hizo kujipatia unafuu. Suluhisho ni vijana wasomi kujenga mentality ya kujiajiri na kudevelop tabaka kubwa la wajasiriamali wa kati huku tukipigania sera zitakazo wezsha tabaka la wajasiriamali wa kati na wdogo kukua......

Baada ya seke seke la mgaya saiv ni 401,500
 
Katika hili kuna matatizo makuu mawili:

Hiyo benki imetoka ujerumani, hivyo in a way unaweza kusema ni wawekezaji. Hivyo tatizo ni la serikali kushindwa kuweka standards za namna ya wawekezaji wanavyotakiwa kuendesha mambo ya ajira. Hii sio hapo tu bali ni sehemu nyingi sana. Mfano; mzuri ni kwenye kampuni niliwahi kufanya kazi mtu mwenye shahada moja ya masoko toka Zimbabwe analkuwa analipwa Tsh 6,000,000 kwa mwezi lakini mtanzania mwenye shahada ya uzamili kwenye fani hiyo hiyo alikuwa analipwa Tsh 2,850,000. Mtanzania alipolamimika aliambiwa kampuni haijavunja sheria yoyote kama anaona analipwa kidogo atafute sehemu nyingine. Huu ni mfano mmoja tu lakini kuna matukio mengi ya namna hii.

Serikali yetu imewekwa mfukoni hivyo hawa jamaa wanataka kulipa mishahara wanayotaka wao kwa vile hata ukilalamika hakuna wa kukusaidia (serikali) rejea Kapuya alipokuwa waziri wa leba- wahindi walikuwa wanampenda sana

Tatizo la pili ni ubora wa elimu yetu. Mimi naona kuna tofauti ndogo sana kati ya form six mfano wa Maua Seminary na graduate wa SAUT au mwenye Adv diploma ya CBE na mwenye diploma ya Masoka. Shida ni kuwa kwa vijana wa leo wana certificate arrogance, mtu (fresh graduate) anataka alipwe mshahara mkubwa kwa vile eti ana vyeti, na mwajiri akipima ufanisi wake anaona hamna kiti kabisa. Sasa kwanini uajiri graduate anayetaka mshahara mkubwa wakati unaweza kupata same results kwa mshahara kidogo toka kwa mtu asiye na degree?

Kuna tatizo kubwa sana mtu anaitwa certified Accountant (cheti) wakati hawajawahi kupractice uhasibu hata siku mmoja. Taaluma zingine ziendane na vyeti na uzoefu pia. Mtu anatoka kidato cha sita hadi CPA bila kufanya kazi hata mara moja. Leo anaitwa mhasibu, hawa walitakiwa wafanye kwanza kazi kwa muda fulani unafanya mtihani ndo unakuwa certified.
 
Comments zako zinaonyesha una hisa hapo maana huelewi mada inazungumzaje!!why a bank ,,a bank, a bank demand for cheap labor to save people's money watu wanaogopa security ya fedha zao itakuwa hakuna pia kwa nini bank kama bank inaonyesha weakness za namna hiyo na ukumbuke hao wanajiita ni ma INVESTORS hapa nchini!!they dont have to use people's IGNORANCE for their benefit!!inaonekana Mtanzania wewe hujaamka kwa ajili ya wenzako kuwa MZALENDO WEWE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamaa wameibiwa sana na magraduate. Nafaham some of people walionzia hapa tym ile tunasota kitaani.
Wana branch manager wao mmoja ni six leaver wenyewe wanamfagilia balaa ktk web yao.
The moja reasons ni kwamba hawa jamaa hawana job security kabisa,mishahara mibovu,poor working condition,targets za hatari,hawana KPI zitakazofanya upande salary levels.
VERY POOR EMPLOYER,bora hata ufanye SACCOS.
Kottler Masoko, kwa hapo kweli huyu employer ni hatari
 
:whoo:access bank, natumai malalamiko meyapata, myafanyie kazi sasa. ipo siku hata hao wateja mlionao watawakimbia.
 
Ntasikitika sana mwana jf kupeleka hela zake huko bora mpeleke mkombozi wakawahifadhie kuliko kuhifadhi kwa wahuni wanaoitaji good f6 we......mko serious kweli...embu tupen email za mkurugenzi na manager wao tatizo linakuja hata elimu zao unawezakuta form6 sasa sijui tunatoa msaada ganiunajua mtoto wa nyani ni nyani...so msisngae hata elimu za walio juu kicheche kitupu
 
wenye degree c tayari wana stadi za kujiajiri. Degree gani ambayo haikupi maarifa ya kujiajiri? Go back to school and ask your teacher
 
HA HA HA HA HA AHA mkuu hii kali nimecheka mno
Na hii cheap labour hii kuna siku tutakuja kutoana roho jamani.

Mie nafanya kazi kampuni moja ya wahindi, boss anakwenda hadi sokoni kuulizia bei ya vitu halafu ndio anakuja kupanga mishara. Ukimwambia maisha yako juu anaanza kukutolea data, "maharage yanauzwa.... sukari..... sasa kwa nini unasema mshara hautoshi" Tutaishi kweli namna hii, hapana bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom