Hii bangi ya wapi

na askari wa kenya walivyodhaifu utakuta askar na Sub yake hyo anakimbia
 
Hapo polisi anawaza sijui nilipe Mwangosi style
 
Hakuna kitu bora duniani kama kujiamini hapo akimuazishia huyo afande anaweza kutimua mbio
 
Madhara ya bangi na kuangalia movie za John Rambo kwa muda mrefu ndo hayo,ha haha ha ha.
 
Hiyo itakuwa siyo ya njombe, maana ya njombe siyo kali hivo kutokana na baridi,....makinda!😉😃🙈
 
Jamani mwenzenu huyo ni mgonjwa wa akili si unamuona hata afande ametulia anamuangalia tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…