Hii bangi ya wapi?

Mimi naona kama kitu cha msoga moja hivi
au wadau mnasemaje..? maana cha CHATO kiko
tofauti kabisa na hiki tukionacho hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hiki kitu cha mboka manyema aka tabora halaf kikapigwa mix ya noti kuukuu ilochakaaa, lazma uone giza hta kama ni saa saba mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…