Hii bandika bandua kunani jikoni

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
1,010
Reaction score
1,168
WanaJamvi muhali gani??

Mwenzenu najiulizaga sana kunani jikoni mara baada ya wazee 27 kusukwasukwa na hata zikaja tetesi kuwa kuna mpya inakuja huko kuna kusukwasukwa na kuchekechwa...!

Laahaulaaaa! Leo tumejionea kijani lesotho kikichekechwa na kuchambuliwa kuna watu leo mirija imekata na hata wengine watakuwa wamenuna la hasha kwamba wamebadilishwa kituo ila wametolewa kwenye migodi ambako walisimika mizizi.!

Kunani huko...au ndio kuweka mkakati mpya na kuwa mpya..! Najiuliza na tujiulize palipo na kufikiri tufikiri kidogo mana ukifikiri sana utaleta tatizo mana "Nyumba ya mkwezi haikosi nazi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…