Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,505
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
 
Kuna kadada kanaitwa maria sarungi kule twitter kenyewe kanachochea vijana mtandaoni nashangaa jana sijakaona. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana
Ndo hapo sasa
Mitandaoni watu wanaonesha kuumia ila kuonesha maumivu hawataki, na ukute serikali ilisubiria kuona wangapi hawataki kumbe hawazidi hata 7

Ilitakiwa Mbowe, Lissu, Heche, Mdude wawe front kabisa angalau watu wangeenda sasa wenyewe wako mitandaoni tu afu wanataka ajenda ifikishwe kwa wahusika.
 
Mh. Rais ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Hao watu wasiojielewa na wewe ukiwepo, sababu hadi sasa bado ujajua nini watu wanataka , ishu sio DP WORLD kuchukua bandari , watu wanataka baadhi ya vipengele kwenye mkataba vifanyiwe marekebisho..

Inawezekana hata ujapitia huo mkataba upo hapa kupiga kelele tu, watu sio wajinga kupinga hili swala.
 
Mmeelezwa wee mpaka bungeni , vipindi vya radio na television kila siku mnaambiwa bado mmekaza shingo kwa ujinga tu sasa kwanini tubembelezane? After all hatuwezi kukubaliana watu wote muhimu maendeleo. Msubiri matokeo mje kutoka pongezi.
 
Back
Top Bottom