kama movie ukubwa ndio huo hawana lolote wanachukua tu kwenye server za friendz4m na labda uangalie kwenye simu kama tecno n3 na galaxy chat ndo itaoneka atleast nzuri sababu nahisi hizo movie hata 240p hazijafika zitakuwa ni 144p.
kama una simu nzuri au pc huwezi angalia hizo movie labda upunguze ukubwa wa player na kuiresize kiwe kidogo.
kwa android kuna app inaitwa showbox hii ndio inaonesha na kudownload movie full hd ambazo unaweza ukangalia kwenye simu za kisasa. na usitegemee movie ya hd kuwa chini ya mb500