Hii application ni noma

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
naomba niwajuze watumiaji wa simu za android wanaopenda kudownload muvi kwamba kuna application inaitwa "Any movie downloader"ni nzuri aisee kwa kudownload muvi zote mpya na zaman kwa mb chache 2 na nzuri.utaipata playstore o mobile9 o mobegenie. hope mtaicheki na mtatoa feedback
 
Thanks for sharing.
 
icheki katika application ya MOBOGENIE ka hauna,install kwanza mobegenie kutoka playstore af after installing it,ingia na fungua mobogenie zen search"any movie downloader"na uinstall so kazi itaisha
 
ninayo na nikiserch inakuja ila nikitaka kuinstall inanidirect kwa playstore af inaleta result kua haipo.
 
Mbona nkisearch playstore zinakuja nyingi??ipi ni ipi :banghead::banghead:
 
Mwl.RCT

Hivi hii kitu bado ipo?

Pata Vocha za TunnelGuru/PD Proxy @TSH 8,000/- for 1 Month Unlimited Plan
Call/SMS
Mwl.RCT
: 0717 54 57 62

Yap. Vocha za vpn zipo. Iwe ni Pd proxy au TunnelGuru. Kama ni mtumiaji wa Netflix; Vevo au Bbc iPlayer lazima utumie vpn kwa hapa bongo. Je unahitaji vocha ipi?. instantly ukifanya malipo nakupa voucher code yako. KARIBU
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hapo torrent files zinadownload?
 
ninayo na nikiserch inakuja ila nikitaka kuinstall inanidirect kwa playstore af inaleta result kua haipo.

Poa its simple download application "mobile9"zen search "any movie downloader"na uinstall af nipe feedback ka iyo imekaaje
 
Yap. Vocha za vpn zipo. Iwe ni Pd proxy au TunnelGuru. Kama ni mtumiaji wa Netflix; Vevo au Bbc iPlayer lazima utumie vpn kwa hapa bongo. Je unahitaji vocha ipi?. instantly ukifanya malipo nakupa voucher code yako. KARIBU

Mi nataka kwenye Mobile Phone mkuu naweza pata kupitia VPN app gani... Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
picha moja inaweza ikawa kama mb ngapi hivi .......!?
 
muv ya lisaa1:30 inatake mb110/120 mara nyng na ya masaa ma2:30 no mb ka 198 iv

Ujue mpaka sasa hivi nimeshindwa kudownload movie.
:help: please playstore nachukua mobogenie au any movie downloader????
hizo monogenie playstore ziko nyingi sana sasa which is whichπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
muv ya lisaa1:30 inatake mb110/120 mara nyng na ya masaa ma2:30 no mb ka 198 iv

kama movie ukubwa ndio huo hawana lolote wanachukua tu kwenye server za friendz4m na labda uangalie kwenye simu kama tecno n3 na galaxy chat ndo itaoneka atleast nzuri sababu nahisi hizo movie hata 240p hazijafika zitakuwa ni 144p.

kama una simu nzuri au pc huwezi angalia hizo movie labda upunguze ukubwa wa player na kuiresize kiwe kidogo.

kwa android kuna app inaitwa showbox hii ndio inaonesha na kudownload movie full hd ambazo unaweza ukangalia kwenye simu za kisasa. na usitegemee movie ya hd kuwa chini ya mb500
 
hii app inanifaa mimi ninayependa movie za HD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…