Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Jan 25, 2018 #21 Deci kwa jina lingine. Wanapewa wachache wa mwanzo ili kuwahadaa wajinga na wapumbavu wengine baadaye. D9 na QNET. Unapata mpumbavu mmoja akusaidie kupata wapumbavu wengine wengi.
Deci kwa jina lingine. Wanapewa wachache wa mwanzo ili kuwahadaa wajinga na wapumbavu wengine baadaye. D9 na QNET. Unapata mpumbavu mmoja akusaidie kupata wapumbavu wengine wengi.
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,656 Jan 25, 2018 #22 Abracadabra
masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 219 Jan 25, 2018 #23 natoka hapa said: Kianzio wanataka bei gan? Formula ya msingi ni kujua kwenye maisha hakuna jambo lenye manufaa litapatikana kirahisi rahisi tu. Click to expand... 100%
natoka hapa said: Kianzio wanataka bei gan? Formula ya msingi ni kujua kwenye maisha hakuna jambo lenye manufaa litapatikana kirahisi rahisi tu. Click to expand... 100%
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,452 Reaction score 2,206 Jan 25, 2018 #24 impongo said: 495,000 wanakupa 2,000,000 550,000 wanakupa 4,000,000 kwa mjibu wa maelezo ktk app yao Click to expand... Mtu anayetaka mkopo ina maana ana shida sasa iyo 495000 katoa wapi
impongo said: 495,000 wanakupa 2,000,000 550,000 wanakupa 4,000,000 kwa mjibu wa maelezo ktk app yao Click to expand... Mtu anayetaka mkopo ina maana ana shida sasa iyo 495000 katoa wapi
masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 219 Jan 25, 2018 #25 natoka hapa said: Kianzio wanataka bei gan? Formula ya msingi ni kujua kwenye maisha hakuna jambo lenye manufaa litapatikana kirahisi rahisi tu. Click to expand... Uko sahihi mkuu kwa 100%
natoka hapa said: Kianzio wanataka bei gan? Formula ya msingi ni kujua kwenye maisha hakuna jambo lenye manufaa litapatikana kirahisi rahisi tu. Click to expand... Uko sahihi mkuu kwa 100%
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,325 Jan 25, 2018 #26 Matapeli hawawezi kuisha coz "Mazwazwa" bado wengi sana.
Mafwi Munda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 1,749 Reaction score 1,605 Jan 25, 2018 #27 Hahaha kwani wewe huna kadi ya chama?! App za nini wanachama hupewa mikopo bila kianzio. Au kachukue kadi ya cdm kawaambie unataka kuhamia ccm, hutojuta.
Hahaha kwani wewe huna kadi ya chama?! App za nini wanachama hupewa mikopo bila kianzio. Au kachukue kadi ya cdm kawaambie unataka kuhamia ccm, hutojuta.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,613 Reaction score 171,563 Jan 25, 2018 #28 impongo said: Evelyn Salt. Fursa hizo mkaijenge tz ya viwanda Click to expand... hapo ni kupigwa hapo
impongo said: Evelyn Salt. Fursa hizo mkaijenge tz ya viwanda Click to expand... hapo ni kupigwa hapo