The serpentine staff you're referring to is called a caduceus. It has Greek origins -- Hermes, the messenger of the gods, carried it as a symbol of peace.
Ukijaribu kuchunguza katika sehemu nyingi kubwa zinapotolewa huduma za afya (hospitali), katika logo zao utakuta kuna alama ya nyoka au kwa kitaalamu 'caduceus'. Inasemekana kwa zamani ilikuwa wanatumika nyoka wawili kuwakilisha hilo lakini kwa sasa ni mmoja, je ni kwanini?
Hapa nimejaribu kuweka baadhi ya picha ya kile ninachokizingumzia ili kwa wale ambao watakuwa wanajiuliza ni nini hiki ninachijaribu kuuliza wapate mwangaza kidogo
Click kwanza "edit" ikifunguka click "go advanced"Mniwie radhi hapo ktk title sio halama bali isomeke alama nimejaribu kuedit lakini title inakuwa shida i dont know how to!?
Mimi ninvyoelewa kwa upande mwingine ni kutoka kwenye Kitabu cha nabii Musa wakati anawongoza waisrael kutoka Misri. Walipomuasi Mungu jangwani aliwatumia nyoka wenye sumu wakawa wanawauma na kufa. Walipokiri dhambi zao Mwenyezi Mungu alimwagiza Musa atengeneze sanamu ya Nyoka mkubwa wa shaba na kumtundika mtini ili kila muisrael atakaye mtazama basi anapona na sumu ya wale nyoka waliokuwa wanawauma. Tangu hapo allama ya nyoka ikawa inatumika kama alama ya uponyaji kwenye vituo vyote vya tiba.
ila sijui nani au wapi walioamua kuanza kutumia alama hiyo.
Naomba kusahihishwa!!!
Wakuu naona wote mnajaribu kuelezea mwanzo wa hii symbol,but what does it symbolize in the medical field.Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza pale muhimbili tuliwahi kuuliza hili swali,yaani what does the snake symbolize in the pharmacy logo.Nilikuwa sijui and i don't know why si kufanya follow up mpaka leo hii.What does this snake symbolize exactly in the logo.Nakumbuka niliwahi kuuliza kule kwenye jukwaa la afya,lakini majibu yalikuwa kama hayo hapo juu.
Kama umesoma muh.... ukamwuliza mwl wako hukufutilia ni uzembe,na je ulihitimu? kama ndio leo hii ukarudi kufundisha wanafunzi wako wakakuuliza utajibu nn?? au wakaja field kwako utajibu nn?? au ndo ninyi wa kupasua vichwa badala ya miguu??????