Hii alama inamaanisha nini katika medical

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,752
196
View attachment 8200

View attachment 8201

View attachment 8202
Ukijaribu kuchunguza katika sehemu nyingi kubwa zinapotolewa huduma za afya (hospitali), katika logo zao utakuta kuna alama ya nyoka au kwa kitaalamu 'caduceus'. Inasemekana kwa zamani ilikuwa wanatumika nyoka wawili kuwakilisha hilo lakini kwa sasa ni mmoja, je ni kwanini?

Hapa nimejaribu kuweka baadhi ya picha ya kile ninachokizingumzia ili kwa wale ambao watakuwa wanajiuliza ni nini hiki ninachijaribu kuuliza wapate mwangaza kidogo
 
Mniwie radhi hapo ktk title sio halama bali isomeke alama nimejaribu kuedit lakini title inakuwa shida i dont know how to!?
 
The serpentine staff you're referring to is called a caduceus. It has Greek origins -- Hermes, the messenger of the gods, carried it as a symbol of peace.

Ancient Greeks created the caduceus as a badge of honor; ambassadors and noblemen carried a long staff entwined with garlands or ribbons to announce their presence. The garlands were later interpreted as snakes, and a pair of wings was added to denote Hermes, the winged messenger.

Here's where it gets tricky. The U.S. Army medical corps adopted the caduceus as their insignia because of its similarity to the staff carried by Asclepius, the god of medicine. The staff of Asclepius is considered the "true symbol of medicine" -- it features only one snake, and no wings. It's the emblem of the American Medical Association.

The two symbols are quite similar in appearance, and both are derived from Greek mythology. The caduceus generally stands for peace, although it may also serve as a symbol of trade and communication, while the staff of Asclepius stands for healing.

More info click here
or [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Caduceus"]Here[/ame]
 
Mimi ninvyoelewa kwa upande mwingine ni kutoka kwenye Kitabu cha nabii Musa wakati anawongoza waisrael kutoka Misri. Walipomuasi Mungu jangwani aliwatumia nyoka wenye sumu wakawa wanawauma na kufa. Walipokiri dhambi zao Mwenyezi Mungu alimwagiza Musa atengeneze sanamu ya Nyoka mkubwa wa shaba na kumtundika mtini ili kila muisrael atakaye mtazama basi anapona na sumu ya wale nyoka waliokuwa wanawauma. Tangu hapo allama ya nyoka ikawa inatumika kama alama ya uponyaji kwenye vituo vyote vya tiba.
ila sijui nani au wapi walioamua kuanza kutumia alama hiyo.

Naomba kusahihishwa!!!
 
X PASTER nilipitia hizo data za Wikipedia lakini ukisoma vizuri ni kama hazina info kamili zinamiss vitu fulani
 
Mniwie radhi hapo ktk title sio halama bali isomeke alama nimejaribu kuedit lakini title inakuwa shida i dont know how to!?
Click kwanza "edit" ikifunguka click "go advanced"
 
Mimi ninvyoelewa kwa upande mwingine ni kutoka kwenye Kitabu cha nabii Musa wakati anawongoza waisrael kutoka Misri. Walipomuasi Mungu jangwani aliwatumia nyoka wenye sumu wakawa wanawauma na kufa. Walipokiri dhambi zao Mwenyezi Mungu alimwagiza Musa atengeneze sanamu ya Nyoka mkubwa wa shaba na kumtundika mtini ili kila muisrael atakaye mtazama basi anapona na sumu ya wale nyoka waliokuwa wanawauma. Tangu hapo allama ya nyoka ikawa inatumika kama alama ya uponyaji kwenye vituo vyote vya tiba.
ila sijui nani au wapi walioamua kuanza kutumia alama hiyo.

Naomba kusahihishwa!!!

Uko sahii kibona kuna baadhi ya sources zingine wanaihusisha na ile fimbo ya bwana Aaron iliyogeuka nyoka na kumeza wale wengine kule Egypt kama uonavyo kuna vitu vingi na habari nyingi zinachanganya kidogo ipi ni ipi sasa
 
Naona jamaa walisharekebisha typing error so tusonge
 
Wakuu naona wote mnajaribu kuelezea mwanzo wa hii symbol,but what does it symbolize in the medical field.Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza pale muhimbili tuliwahi kuuliza hili swali,yaani what does the snake symbolize in the pharmacy logo.Nilikuwa sijui and i don't know why si kufanya follow up mpaka leo hii.What does this snake symbolize exactly in the logo.Nakumbuka niliwahi kuuliza kule kwenye jukwaa la afya,lakini majibu yalikuwa kama hayo hapo juu.
 
Inachanganya na unaweza kukuta ni watu wengi sana hata medics waliobobea mpaka leo bado haijulikani ni nini chanzo hasa
 
Wakuu naona wote mnajaribu kuelezea mwanzo wa hii symbol,but what does it symbolize in the medical field.Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza pale muhimbili tuliwahi kuuliza hili swali,yaani what does the snake symbolize in the pharmacy logo.Nilikuwa sijui and i don't know why si kufanya follow up mpaka leo hii.What does this snake symbolize exactly in the logo.Nakumbuka niliwahi kuuliza kule kwenye jukwaa la afya,lakini majibu yalikuwa kama hayo hapo juu.

:confused:Kama umesoma muh.... ukamwuliza mwl wako hukufutilia ni uzembe,na je ulihitimu? kama ndio leo hii ukarudi kufundisha wanafunzi wako wakakuuliza utajibu nn?? au wakaja field kwako utajibu nn?? au ndo ninyi wa kupasua vichwa badala ya miguu??????:confused:
 
Mh kaka macap mbona hivyo? Unajua unapokuwa pale ni easy san kutochukulia maanani swala hilo wengi wetu sio wadadisi kiasi hicho kwanza mi nnmasifu Che walau alijaribu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom