Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

Joined
Jul 10, 2015
Posts
49
Reaction score
2
Wapendwa naomba mnisaidie
mimi natumia airtel kwenye internet,nilijua bando za internet unlimited ni 2500 kwa wiki sasa maajabu yake eti kwa siku tu GB 1 ni shilingi 1000.sasa nikisema ninunue kwa wiki moja ni hela nyingi ntapoteza. matokeo yake naishia kununua MB 300 kwa sh 500. sasa na hii ninatumia kwenye modem kama dk 10 imeisha. naomba kama kuna airtel bando za ainternet mnisaidie jinsi ya kujiunga maana natumia gharama nyingi bila sababu
au kama hakuna jipya airtel niipige chini nianze na TIGO
natanguliza shukrani
 
mkuu hiyo ndio ilivyo...mi mwenyewe kila siku nanunua mb 300 hakuna namna maana voda ni zaidi ya hapo.
 
Kwa sasa vifurushi vya Airtel ni expensive kuliko Vodacom. Jaribu Tigo.
 
Na airtel wanaboa sana. Unanunua bando la omg la 1gb week kwa 3000 cha kushangaza muda mwingi network inakata ,mtandao hauko strong . Hadi week inaisha ukiangalia salio unakuta una mb 700 ambazo zinaexpire. I hate airtel.
 
hata mimi natumia hii ya mb300 kwa siku moja... nafikiria kuwaendea zantel labda watakuwa nafuu au ttcl
 
Tafuta zile vocha zao za Uni utaenjoy ukiwa karibu na chuo utazipata angalau hizo zina bundle nzuri
 
mkuu hiyo ndio ilivyo...mi mwenyewe kila siku nanunua mb 300 hakuna namna maana voda ni zaidi ya hapo.
yani apa nimeshachukia kabisa
Nilikuwa naiamini airtel kuwa ina bei nafuu kumbena wenyewe ndo waswahili HAWA JAMAA SIJUI WAMEKULA MAHARAGE YA WAPI!!!
 
OMG ilipoanza ni kweli ilikuwa nafuu na user ulikuwa unapewa GB za kutosha mpaka 40gb kwa mwezi nakumbuka, ila ile ilikuwa ni marketing strategy tu ambayo offcoz sikutarajia ingedumu sana sababu ilikuwa aiwalipi, nia ilikuwa kuvutia users wahamie Airtel then baadae wanakuja kutugeuka kama ilivyo sasa. Kwa sasa hivi ndio wanacharge kibiashara na kiwizi pia. Inshort Tanzania bado internet ni hanasa na speed pia ni tatizo la kitaifa, we hv a gademu long way to go still!
 
Wapendwa naomba mnisaidie
mimi natumia airtel kwenye internet,nilijua bando za internet unlimited ni 2500 kwa wiki sasa maajabu yake eti kwa siku tu GB 1 ni shilingi 1000.sasa nikisema ninunue kwa wiki moja ni hela nyingi ntapoteza. matokeo yake naishia kununua MB 300 kwa sh 500. sasa na hii ninatumia kwenye modem kama dk 10 imeisha. naomba kama kuna airtel bando za ainternet mnisaidie jinsi ya kujiunga maana natumia gharama nyingi bila sababu
au kama hakuna jipya airtel niipige chini nianze na TIGO
natanguliza shukrani

Pole mdau.hata mimi nilipanic kidogo hayo mabadiliko.nunua OMG wiki ya 1GB kwa sh elfu tatu.binafsi natumia hiyo kwa sasa.otherwise angalia option ingine kwa kampuni zingine as far as soko huria linahusika!
 
Mbona hipo ya 1500 unapewa GB 1.2 Dk 60 na Sms za kutosha kwa wiki nzima hau hamjui? Hii inauzwa vocha spesho. Nendeni Madukani zipo.

Alafu ipo ya Mwezi Mzima kwa elf6 unapewa GB 8 Madakia ya kutosha na mameseji ya kumwaga. Tembeeni madukani Mnunue izi vocha jamani, Airtel ni bomba sana.
 
Sisi Wengine Per Day Tunahitaji 500MB to 1GB...... hizo 1G per Week daaaaah
 
  • Thanks
Reactions: amu
mkuu hiyo ndio ilivyo...mi mwenyewe kila siku nanunua mb 300 hakuna namna maana voda ni zaidi ya hapo.

Voda 180 MB sh 500
Tigo ctak kuckia net mbovu afadhali voda japo hela inauma
 
Airte imefilisika jamani..me kila cku network ipo e ..mpaka nimeamua kubaki kiroho kwao lakn kimwili nipo tigo
 
Mbona hipo ya 1500 unapewa GB 1.2 Dk 60 na Sms za kutosha kwa wiki nzima hau hamjui? Hii inauzwa vocha spesho. Nendeni Madukani zipo.

Alafu ipo ya Mwezi Mzima kwa elf6 unapewa GB 8 Madakia ya kutosha na mameseji ya kumwaga. Tembeeni madukani Mnunue izi vocha jamani, Airtel ni bomba sana.
hizo vocha zinaitwaje?
 
Back
Top Bottom