Hii adhabu aliyopewa jamaa imekaaje wakuu? Imetolewa na wanajeshi

ni kuchezea rasilimali tu, mabakabaka wengi kazi za kufanya hamna nchi ina amani wanakula mishahara tu, ungekuta sa sisi tuna mission kama za usa, jeshini watu wangekimbia
Hahahaha wananenepeana ovyo tu huko makambini
 
Acha ujinga basi, nitunge stori ili inifaidishe nini?
Mnaosema niweke picha sijui video, unaweza kuchukua picha au video katika eneo hilo?
Acheni kupinga kila jambo.
Nyie ndiyo mnaipa ccm bichwa, watu tunasema madudu yao, nyie mnakazana eti oh sijui nini.
Acheni useng'e
Hahahahahahaha braza umepanik kama wajeda hahaha kumbe na hao ni ccm au nmekuelewa vbaya.
 
Kuna jamaa mmoja muda wa mechi uwanja wa jeshi akaingia kukojoa kwenye kichaka karibu na uwanja..

Kwanza alianza kuoga mchanga ,pili akapewa ndoo na brush akisafishe kichaka kwa maji they’re not serious aisee
 
Kuna mishe huwa nazifanya ndani ya kambi za Jeshi.
Imekuwa ni kawaida kambini nakuta mtu au watu wakipewa adhabu (hasa raia ambao wanakiuka sheria na taratibu za eneo la Jeshi).
Nimezoea nakuta wakifanya adhabu za kutumia nguvu (zile za kuchosha).

Lakini ya leo imekuwa tofauti kidogo.

Mtu na familia yake asubuhi wanawahi kwenda kanisani, ndani ya gari yao.
kutokana na kuchelewa, ikawabidi wakatize eneo la Jeshi kwakuwa ni njia ya mkato. (Ila njia hii ni marufuku kupita)
Sasa jamaa na familia yake ndani ya gari lao wakakatiza hapo ili wawahi kanisani,
mapema tu wakakamatwa na wajeda,
Wakaulizwa, (wote walio ndani ya gari, alikuwemo baba, mama, vijana wa kiume watatu na mabinti watatu) mnajua kusoma na kuelewa? Wakasema ndiyo.

Maelezo ya hapa na pale jamaa kaambiwa apeleke gari uwanjani.
Wamekaa sana pale uwanjani.
Baadae wamekuja wajeda wamelijaza gari mafuta full tank, na mengine kama lita 20 pembeni. kaambiwa wazunguke mpaka yale mafuta yaishe!
Hii adhabu imekaaje?
Mgulani, miaka ya 70 jamaa aliingia uwanja wa jeshi kulikuwa kuna bendi inapiga humo. Walimkamata wakampatia kisoda, ajaze pipa la lita 200 huku bomba likiwa full. Ukiweka kisoda hakijai
 
Toa povu sana ila kusema za ukweli umetunga hii story
Acha ujinga basi, nitunge stori ili inifaidishe nini?
Mnaosema niweke picha sijui video, unaweza kuchukua picha au video katika eneo hilo?
Acheni kupinga kila jambo.
Nyie ndiyo mnaipa ccm bichwa, watu tunasema madudu yao, nyie mnakazana eti oh sijui nini.
Acheni useng'e
 
Kuna mishe huwa nazifanya ndani ya kambi za Jeshi.
Imekuwa ni kawaida kambini nakuta mtu au watu wakipewa adhabu (hasa raia ambao wanakiuka sheria na taratibu za eneo la Jeshi).
Nimezoea nakuta wakifanya adhabu za kutumia nguvu (zile za kuchosha).

Lakini ya leo imekuwa tofauti kidogo.

Mtu na familia yake asubuhi wanawahi kwenda kanisani, ndani ya gari yao.
kutokana na kuchelewa, ikawabidi wakatize eneo la Jeshi kwakuwa ni njia ya mkato. (Ila njia hii ni marufuku kupita)
Sasa jamaa na familia yake ndani ya gari lao wakakatiza hapo ili wawahi kanisani,
mapema tu wakakamatwa na wajeda,
Wakaulizwa, (wote walio ndani ya gari, alikuwemo baba, mama, vijana wa kiume watatu na mabinti watatu) mnajua kusoma na kuelewa? Wakasema ndiyo.

Maelezo ya hapa na pale jamaa kaambiwa apeleke gari uwanjani.
Wamekaa sana pale uwanjani.
Baadae wamekuja wajeda wamelijaza gari mafuta full tank, na mengine kama lita 20 pembeni. kaambiwa wazunguke mpaka yale mafuta yaishe!
Hii adhabu imekaaje?
Kichaa cha kijeshi hicho.
 
Hii uliyoleta hapa ni story tu...

Adhabu hii ilitolewaga miaka ya nyuma... tena kwa daladala enzi za usafiri wa Hiece...

Hiece ilijazwa mafuta, dereva na konda wakaambiwa wapige debe humo humo kambini wakizunguka mpaka mafuta yaishe...

Cc: mahondaw
 
Mmh!..
Kuna mtu alipita bahati mbaya maana kwa nyuma hakuna kibao chochote kuonesha kuwa hili ni eneo la jeshi..
Walimuwekea ndoo ya maji tupu..wakampa kisoda .. akachote maji kwa kutumia hicho kisoda bombani ambapo ni mwendo kidogo toka ilipo ndoo..mpaka aijaze!

Ilikuwa kazi ya masaa zaidi ya 15 na mpaka tunaondoka ndio kwanza ...ndoo tupu!
Hadi huruma!
Sijui yaliishiaje!
Hii ni stori ya tangu watu wapo wadogo
 
Nafikiri ni adhabu wanazopeana wenyewe kwa wenyewe, sasa raia ikitokea uko mikononi mwao, wanakuchagulia mojawapo uhangaike nayo.
 
Its ease.ukikutana nao hao jamaa wakikupa adhabu kali goma.
Taratibu zingine ztafuatwa kw akuorlekwa kwa wakubwa,utaishia kula adhabu ndogo sana au kusamehe.
Km una sim ina internet waonyeshe clip za wajeda wenzao wa ncji zilizostaarabika hta wenywe watatabasamu kwa kujiona sio.
 
ni kuchezea rasilimali tu, mabakabaka wengi kazi za kufanya hamna nchi ina amani wanakula mishahara tu, ungekuta sa sisi tuna mission kama za usa, jeshini watu wangekimbia
Chuki binafsi,ww una kazi gani zaidi ya kusubiri chakula cha kengele kwa shemeji.sipendi watu wanaopenda kukashifu kazi za wenzao,wajeda chapeni kazi .
 
Back
Top Bottom