Higher Upload Than Download Speed!

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,159
Wadau Salaam!!
Kuna jambo ningependa kufahamu maujanja ya namna gani naweza kutatua tatizo hili. For couple of days now, my Upload Speed kwangu imekuwa Higher than Download Speed! As far as I don't have BIG Files to upload, hii kwangu naona inabania sana linapokuja suala la kutaka ku-download!

Natumia Vodacom modem!

Thanks in advance.
 

I see mkuu,,mbona mm natafuta niwe na upload speed kubwa ila siipati nisaidieni basi
 
Mh.... mbona voda wanatusumbua sana kwenye upload mpaka tunashindwa kupakia mizigo ya maana je speed ya upload yako inafika nyuzi ngapi?
 
I see mkuu,,mbona mm natafuta niwe na upload speed kubwa ila siipati nisaidieni basi
hahahahaa......ndo uzuri wa haya mambo, wewe ukisema cha nini, wenzako wanasea watakipata lini!! Anyway, nazani haya yote yanategemeana na kazi za mtu!
 
unatumia software gani kudowload?
Tixati! Hata hivyo, naona leo imerudi normal ambapo wakati upload inacheza up to 500 kbps, download inacheza up to 2Mbps ingawaje sometime inaenda hadi 5 Mbps.
 
Mh.... mbona voda wanatusumbua sana kwenye upload mpaka tunashindwa kupakia mizigo ya maana je speed ya upload yako inafika nyuzi ngapi?
kutokana na tatizo la network kwa ujumla wake, utakuta download speed (say) 250 kbps, upload itakuwa kwenye 400 kbps! In short, ina flactuate but mara nyingi upload inakuwaga kubwa kuliko download. Hata hivyo, naona ucku huu imerudi normal ambapo wakati upload inacheza up to 500 kbps, download inacheza up to 2Mbps ingawaje sometime inaenda hadi 5 Mbps.
 

Kumbe....mie nilidhani upload inapanda hadi 2Mbps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…