Umesoma IfundaHabari wana jf leo tujikumbushe kidogo kwenye upande madom advance .
Kwa upande wangu mm nili lala mkwawa na seuta .
#wew je?
Siku hizi kuna mambo humu!!!Mungu nifundishe kunyamaza
mziki wa Dogo Paten..Uform six Bado haujakuisha ngoja uende chuo utauona mziki huko.