Car4Sale Higer bus. Bus la kifahari kwa bei nafuu

Car4Sale Higer bus. Bus la kifahari kwa bei nafuu

Joined
Mar 19, 2026
Posts
9
Reaction score
7
Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu
Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4
Lenye choo au bila choo
Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu
Weka order yako sasa
📞 +255622726182
📍Magomeni Kanisani
Stock ni limited

IMG_1552.jpeg
IMG_1553.jpeg
IMG_1554.jpeg
IMG_1555.jpeg
IMG_1556.jpeg
IMG_1560.jpeg
IMG_1562.jpeg
IMG_1561.jpeg
IMG_1559.jpeg
IMG_1558.jpeg
 
Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu
Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4
Lenye choo au bila choo
Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu
Weka order yako sasa
📞 +255622726182
📍Magomeni Kanisani
Stock ni limited

View attachment 3561752View attachment 3561753View attachment 3561754View attachment 3561755View attachment 3561756View attachment 3561757View attachment 3561758View attachment 3561759View attachment 3561760View attachment 3561761
Mkuu haya ni mapya kabisa, used au refurbish?

Bei zake zipoje? Usifiche bei weka bei hadharani

Yamelipiwa kodi ya TRA?
 
Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu
Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4
Lenye choo au bila choo
Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu
Weka order yako sasa
📞 +255622726182
📍Magomeni Kanisani
Stock ni limited

View attachment 3561752View attachment 3561753View attachment 3561754View attachment 3561755View attachment 3561756View attachment 3561757View attachment 3561758View attachment 3561759View attachment 3561760View attachment 3561761
Hivi Afisa masoko umefanya makusudi, au ni bahati mbaya kwa kushindwa kuweka bei halisi ya haya mabasi yenu, pamoja kiwango cha malipo ya kidogo kidogo kwa wateja wenu?

"Bei nafuu" ni sawa na shilingi ngapi za Kitanzania?
 
Tamaa za wafanyabiashara Bongo ndio zinafanya wasipende kuweka bei hadharani
Unaulizia bei ya nini, umeshaambiwa ni bei nafuu 😂😂
 
Kwa ufafanuzi mdogo tu, hayo magari hayana Bei elekezi Kila mtu atasokotwa bei yake hivyo ndugu wajumbe nendeni pm 😁😁
 
Hivi Afisa masoko umefanya makusudi, au ni bahati mbaya kwa kushindwa kuweka bei halisi ya haya mabasi yenu, pamoja kiwango cha malipo ya kidogo kidogo kwa wateja wenu?

"Bei nafuu" ni sawa na shilingi ngapi za Kitanzania?
Higer ya bila Choo Bei Milioni 421
Higer yenye choo Bei Milioni 428
Kodi imejumuishwa
 
Back
Top Bottom