nenda kwenye sehemu (folder) ulikohide hilo folder lako ..ngoja nikupe mfano kwa kutumia picha uelewe..
Hapa ninafolder langu linaitwa "myfolder".nitalihide kwanza alafu nitalirudisha ili niweze kuliona..naomba ufuatilie kwa makini. location lilipokuwa hili folder nikalihide ndio hiyohiyo ambapo nimerudi na kulitafuta ili nilione(ukiangalia vizuri utagundua myfolder iko ndani ya newfolder2 na ndio nitalitafutia hapohapo)...
sasa ninahide folder kwa kuright click then properties alafu natick hidden alafu nabonyeza apply then ok.
baada ya kuhide unaona folder halipo tena.. sasa naenda kwenye organize alafu nikiclick kuna list inatokea nachagua "folder and search option" then folder option window itatokea. ikitokea naenda kwenye view (highlighted). page itakayokuja naenda kwenye "show hidden files, folder and drives" naclick alafu naapply then napress OK. baada ya hapo folder litaonekana.
sasa ukitaka lionekane permanently right click folder alafu nenda kwenye properties ukauntick hidden option alafu uapply then Ok.
Ukimaliza yoote haya rudi kwenye "organize",folder and search option, view, alafu urudisha option inayosema dont show hidden files ambayo inaonekana hapa chini juu ya hiyo highlighted option..
ukimaliza weka ok basi..
natumai nimeweza kukupa jibu la swali lako..