Hichi nacho kimechangia kupunguza kura zetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hichi nacho kimechangia kupunguza kura zetu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaJambazi, Nov 3, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,003
  Likes Received: 3,180
  Trophy Points: 280
  Wakuu sina nia mbaya na chama chetu cha CHADEMA.

  Nimejaribu kufikiri kwamba,kuna kura zaidi ya 75000, ambazo huenda tungezipoteza hata kama uhesabuji ungekua fair.

  1.Dr (Phd) aliahidi kufuta baadhi ya vyeo serikalini kitu ambacho kimetishia maisha ya (ndugu)dependants na waajiriwa wa hao maafisa ambao wangefutwa kazi.
  (Huenda Dr angeweza kuwapa vitengo vingine,,lakini kwa watu kama mashamba boy,beki tatu, nk ingekua nguma kuelewa, hivyo kuipingia kura CCM)
  Mfano mkuu wa wilaya anaweza akawa na watu zaidi ya 60 aliyewawezesha kupata ajira, hawa pia wana familia, na familia zao pia zinafamilia,,chain ni kubwa sana.(Usisahau wanaweza pia kushawishi -ve watu wengine kuhusu CHADEMA)

  Nina mfano mmoja hapa ofisini kuna mshikaji hajampigia kura Dr kwasababu mjomba wake angepoteza ukuu wa wilaya.

  2. Wamiliki wengi wa shule binafsi walichukizwa na Dr kudai atatoa huduma bure na bora. Hivyo wao wangekosa ulaji.
  Hembu fikiria mmiliki kama Mama Lwakatare alikua anaichukuliaje hii. What if alishawishi wafanyakazi wake the impact ya kumchagua Slaa kwa sera hii? (kumbuka hao wafanyakazi wanafamilia na wanaushawishi kwa dependants wao)

  3. Walimu wengi ambao huenda wangempigia Dr,walikosa fursa hiyo,kutokana na kupangiwa vituo tofauti kusimamia uchaguzi.

  Nini kifanyike 2015?
  Tafakari,Tuchukue hatua.
   
 2. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,568
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Bado naendelea kuitafakari mkuu...
  I will be back!!
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  makes sense!
   
 4. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwanza nashauri ule kiapo cha kubadiri jina lako na avatar sasahivi....sababu halionyeshi busara zako...
  naendelea kutafakari
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hapa kuna swala la 50/50 kwani kwa nchi yeyote inayotaka mabadiliko nilazima hii hali iwapitie watu wenye tabia hiyo au watu walikuwa kwenye mfumo huo kwani iko wazi walijua kuwa walifanyalo sio machoni kwa wanyonge wengine. kwa ufupi tu haliepukiki na ndio mwanzo na viongozi wote wajao katika serikali hiyo ya JK lazima watanyooka bila ubisha tuu.

  Tukubaliane kwenye mapadiliko yoyote yali katika maisha yetu huwa kuna +ve na -ve, sasa tukitaka watu wajieandae kwanza ndio changes has to take place jamani tutajikuba behind time na haitotokea na madhara yake ni makubwa na itazua janga kubwa kuliko hili la sasa ni bora hili la kura huru kuliko la jaziba za wananchi kuamka huko ziliko.  Nadhani hili la shule lazima lingekuja na ufumbuzi makinifu kabisa hata huko nyuma kulikuwa na skuli za wenzetu hawa wa ulaya ukienda huko walipia.

  lakini jambo muhimu hapa kwetu ni mfumo mzima na mustakabli wa elimu ukae vipi na utekelezwe vipi hilo ndilo liwe kipaumbele kwanza, kuna mambo mengi sana hapo kwa kutaja machache (Kuongeza shule na mahitaji yake yote muhimu ,Vitabu,maabara,vifaa vya michezo na muziki,kuboresha na kuongeza nyumba za walimu,mishahara ya walimu na wafanyakazi wengine hapo mashuleni na vinginevyo )


  Wataka kuniambia hata wale wasimamizi hawakupiga kura?
   
Loading...