Mkuu Heshima mbele!
Kwanza mimi si mama na wala situmii jina bandia humu jamvini kama walivyo watu wengi. Kwa hiyo kuniita hapo kwenye bold hujanitendea haki. Katika tasnia ya habari au uandishi kitendo cha kuchukua kutumia habari isiyo yako bila ku acknowledge source ni wizi kama wizi mwingine. Na kwa sababu habari hii tulishaisoma katika mtandao mwingine ni muhimu kuwakumbusha waleta habari kueleza walikotoa badala ya kuhothi habari isiyo yako na ku- pretend kama vile ni yako. Ndio maana nikamkumbusha mleta habari ku acknowledge source, mkuu huyo mama U-turn sijawahi hata kukutana naye zaidi ya kusoma habari kwenye blog yake.