HI

Hakika hakuna aliye muweza zaidi ya Mwenyezi Mungu
 
Ee Bwana,toka vilindini nimekulilia.Bwana, uisikie sauti yangu.Masikio yako nayasikilize sauti ya dua zangu.
Bwana kama wewe ungehesabu maovu,Ee Bwana,ninani angesimama?+

Wewe ni zaid ya mshind!!
Jua wewe ni nani in Christ Jesus!! 2 Petro 2:9!!

Wewe ni zaidi ya unacho kipitia!!!
Kiri ushindi kwa Jina la Yesu!
 
Hi..... say it, kwanini unaumauma maneno? Sema usiogope :mod:
 
Ee Bwana,toka vilindini nimekulilia.Bwana, uisikie sauti yangu.Masikio yako nayasikilize sauti ya dua zangu.
Bwana kama wewe ungehesabu maovu,Ee Bwana,ninani angesimama?+

...lakini kwaako kuna bwana...

Jamani umenikumbusha kwaya za skuli loools
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…