Biblia inasema mwanamke mjinga.....ila jamaa kwenye bongo fleva akaamua kuongezea na wanaume.... I am trying hard kujenga hii nyumba yangu na Filipo ila kuna muda naona anataka kuivunja kwa uzembe....
Wala hatuami ng'o......
shem naona umekuja na Mr kuvuruga ndoa yangu!? Sijui mmenitokea wapi?
Kule Kiding'a bado mitambo haijafungwa