wala usipate tabu,hiyo ni project kwa hisani ya JK.Helo wana Jf. Naomba tujadili hili swala la baadhi ya watendaji wa serikali kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Then tume inaundwa inalipwa mamilion ya fedha at the tume inaleta majibu kuwa sio mafisadi then wanarudishwa kazini.
we changia tu mambo mengine watajua ma-moderatorhuku hutapata majibu ya swali lako...nenda mlango wa tatu hauna mlango unaitwa jukwaa la siasa
sehemu yoyote ukiibiwa unaruhusiwa kupiga kerere ya mwizi hata kama unamwaga cha kwanza,ruksa kupiga kelele ya mwiziiiiHapa si mahala pake mkuu...