K Kilindila Rojas Member Sep 27, 2011 19 3 Sep 28, 2011 #1 Habari zenu wana JF, nilitaka kukujulisheni nami nimejiunga rasmi nanyi. Hope mtanipa ushirikiano &uzoefu wenu.
Habari zenu wana JF, nilitaka kukujulisheni nami nimejiunga rasmi nanyi. Hope mtanipa ushirikiano &uzoefu wenu.
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,381 Sep 29, 2011 #8 Oh, kumbe ndio umejiunga sasa? karibu sana! hapa ndio JF, home of the great thinkers. Ulikua unasoma posts zamani lakini? au ndio ya kwanza kabisa unafungua ukurasa wa JF?
Oh, kumbe ndio umejiunga sasa? karibu sana! hapa ndio JF, home of the great thinkers. Ulikua unasoma posts zamani lakini? au ndio ya kwanza kabisa unafungua ukurasa wa JF?