Graca.........................karibu sana,ushirikiano upi huo unaotaka kwani humu kuna kila aina ya ushirikiano...................................mimi naitwa mwenzetu si mgeni saaana na pia si mwenyeji saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana napatikana hapa na pale................Hawajambo utopakapo???????,...........basi pata japo kimoja yaani kikombe:A S-coffee: