Hi

Hi

Mary-willy

Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
26
Reaction score
2
Za saizi waungwana? jamani mi nina shida moja natafuta mpenzi niko serious nimechoka kuishi single atakae jitokeza namba zangu ni +255656279694 plz call me,age yangu 22
 
Mh! Una uhakika? hope you are serious! na hilo jukwaa ulikopitia sijui!
 
Za saizi waungwana? jamani mi nina shida moja natafuta mpenzi niko serious nimechoka kuishi single atakae jitokeza namba zangu ni +255656279694 plz call me,age yangu 22
Ama kweli hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna kumung'unya maneno. Good lucky kwa Mr Right mtarajiwa!.
 
mmh sasa mbona utawapata wengi mpaka utajuuta
 
Za saizi waungwana? jamani mi nina shida moja natafuta mpenzi niko serious nimechoka kuishi single atakae jitokeza namba zangu ni +255656279694 plz call me,age yangu 22

tunaweza kukucall kwa kupata maelezo zaidi, lkn kama kuna vigezo vyovyote vya m2 unayemtaka awe yukoje, basi tuwekee. na siyo mbaya kama utatuwekea wasifu wako wa nje.
 
Huu ndo UDAKU wenyewe au umeksea place ya kuipost thred yko??!!! Toa number zako zote sio 1 tu!

Za saizi waungwana? jamani mi nina shida moja natafuta mpenzi niko serious nimechoka kuishi single atakae jitokeza namba zangu ni +255656279694 plz call me,age yangu 22
 
umetoa age tu 22, natumaini bado upo shule,
anyway kukurahisishia kuwapata wachumba kwa haraka weka picha yako halisi,
jinsia yako ipi?
kabila, tabia, dini, rangi, unapenda nini, siku hizi sio muhimu
 
Eleza wasifu wa aina ya mume unayemtaka, halafu fuata ushauri wa waliotangulia yaani CV-socioly, picha nzima, hebu toa sifa zako watu wakugombee kama mpira wa kona.
Nakutakia kila la heri mufanikiwe ili usikose kutuhabarisha utakapofanikiwa.
 
Za saizi waungwana? jamani mi nina shida moja natafuta mpenzi niko serious nimechoka kuishi single atakae jitokeza namba zangu ni +255656279694 plz call me,age yangu 22

You are too young....kama shule basi bado unasoma na huko ndo pa kupatia wapenzi...kama umeshindwa kupata huko...duh..
 
Ebwana mbona hujaweka jinsia yako? ni kwamba unatafuta bwana au unatafuta mke? hueleweki
 
Back
Top Bottom