huyu jamaa kanichekesha sana kwa kuweka picha kama utambulisho ila vizuri pia
Karibu
Ila mkuu uvumilie tu maana kwenye hiyo picha kuna watu wanaona mpaka visivyo onekana
Badala ya kuangalia picha wataangalia paa lisilowekwa ceiling board ,
Ndio changamoto zenyewe