Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Mushi kabisa kweli auvae ushamba wa Kisukuma eti kwa kukaa Rocky City tu? Si kwa miwani hii na kulegea huku aisee. Huyu kamanda iko namna si bure!Ukimuuliza vyema utakuta aliishi Mwanza au maeneo kama hayo
46 yrsyou are welcome but you must act as full grownup guy,
Eti ana 46 f***in' yrs huyu anatafuta kikiAisee mapichapicha tena?...huku sio fb we dogo
Aisee bwana Mushi umetisha aisee...lakini....karibu tu jamaa angu.
Humu tunataka akili, sio nyagoMtoto mzuri hiyo picha inakutambulisha vibaya, itoe tu. Watu wanataka zaidi u-great thinker kuliko picha ama muonekano.
Watakuharibia mudi sasa hivi.
Sawa,
Kwa hiyo unataka kusemaaKijana alijua fb so akatupiamo
Aisee bwana Mushi umetisha aisee...lakini....karibu tu jamaa angu.
Hahaaa wa kishmundu huyuAngekuwa Msukuma mngesema. Huyu si Mchaga kabisa huyu?
Kwa mbwembwe zaidi picha ameweka ya black n white.Huyu hatarudi tena
Picha ya nini sasa ahhhhh
Eti wanasema anauza sura...Kwa mbwembwe zaidi picha ameweka ya black n white.
Hivi utambulisho wa picha ni kosa au?