Naomba ushauri kwa hili wana jamii.
nina urafiki wa kimapenzi na msichana ambao umeduma takribani miaka 5 sasa,
lkn kulitokea matatizo ya mm kutokubalika upande wa mama yake haswa baada ya kupata taharifa ambazo si za kweli,msichana alijaribu kumweleza ukweli lkn ajakubaliana nayo.lkn ktka kipindi cha hivi karibuni naona mahusiano yetu ya mawasiliano yanapungua kwa kisingizio cha kubanwa na kazi au kukosa salio kwny simu,ingawa nikimtumia salio ananipigia japo si kama zamani,na nikimwambia anieleze hatma ya yote sipati jibu na wala aniambii kama anataka mahusiano yetu tusitishe kwa faida kwake majonzi kwangu,kwa upande wangu nashindwa kuamua kwa sbbu nampenda na namwitaji aje awe mke wangu,je nifanye nn katika hili na umri wangu unayoyoma sasa.Msaada plz
Let me tell you one thing " Women are more fighters than men when they Truly Love"'
Katika uelewa wangu na faham zangu, Mwanamke akipenda yupo tayari kufa kwa ajili ya upendo. ukiona yupo nija panda ujue pengine ni mtu anae ku "appreciate' tu kama moja ya watu muhim kwenye maisha yake but she can easily forget about you!!
Mahusiano yakishavuka miaka 2 ni dhahiri kabisa kutakuwa na dalili ya nyie kukubaliana na kuwa na mtimazo wa maisha unaoshabihiana.
Kama imetokea sasa hivi haonyeshi dalili ya kuwa na wewe kuna vitu vichache ambavyo naweza kukwambia!!
1. Wanawake asilimia chini ya 30% huwa wanaolewa na wanaume ambao wanawapenda no matter level ya upendo wa mwanaume( woman' love>= man' love"
2. Wanawake zaidi ya asilimia 50" wanaolewa kwa sababu ya maisha na kusema ukweli wanawapenda watu wengine lakini kwa sababu ya uwezo wa kipato cha mwanaume anaependwa huwa wanaachwa na mwanamke kwenda kwa mtu mwenye kipato cha Hali ya afadahli ama juu.
3. Idadi iliyobaki ambayo ni cahini ya asilimia 20% ni coincidence, mwanaume anataka kuo na mwanamke anataka kuolewa na bila kujali mapenzi ama kipato watu wanaingia kwenye ndoa.
4. kikubwa zaidi ya chote mara nyingi wanaume wanaoa wanawake wanaowapenda, Mara nyingi pia wanaume hawaangalii upendo kama wanawake wanavyoangalia rather wanaangalia Heshima nidhamu na adabu.Hizo ni criteria za Mwanaume
Kutokana na hayo niliyosema hapo juu,
1. Mwanamke wako yupo influenced na mama yake na ki ukweli mama yake ana nafasi kubwa saana ktk maamuzi yake kama wewe sio namba 1 moyoni mwake
2. Usilazimishe maisha,angalia athatri za wewe kulazimisha kupendwa na kufunga ndoa pengine makubwa zaidi ya hili yanaweza tokea
3.Mpe nafasi ya mwisho kwan kama unavyodai umri wako unagomba ikishindikana, U can live your life. Just kama ambavyo watu hupotelewa na wapenzi wao na taratibu maisha huanza kuzoeleka bila ya wapendwa wao kuwepo( mfano kufiwa n.k)
Nakutakia maamuzi na maisha Mema kwa huyo ama mwengine ajae!!
Yote kheri na wote mlizaliwa, So kama ankuona hufai wengine wanakusubiri kwa hamu, take your time and head your destiny