Jamani mimi naitwa Mayu Ngoma, mpenda maendeleo na zaidi nina uchungu kwa wanyonge ambao serikali ya kikwete na wenzake imesahau sana.
Just introducing myself to you all as i just subscribed to JF,looking forward to contributing more and learning from other 'wapenda maendeleo na wanaharakati'
Cheers!!:A S thumbs_up: