Hi tabia yako manka siipendi!!

Ayatollah the Bird

Senior Member
Joined
Jul 30, 2026
Posts
182
Reaction score
412
Yani nakuhudumia kila kitu alafu mm nikitaka huduma ya ziada unasema upo bussy.

Yani ni wiki ya pili Manka ananifanyia michezo tuh.jana nilimpanga aje geto nikamtumia na nauli ila nilimsubiri mpaka nikachoka.

Baadaye kanipigia simu kuwa alikuwa amechoka sana na alikuwa na uvivu.nikamweleza vp kuhusu mchezo. eti amenijibu yupo kwenye masiku na hataki ujauzito.nmebaki kimya wadau sina neno naye hapo nimeyatimba!
 
Huyo binti wa wajomba zangu hakupendi.
 
Kamsemee kwa babaake, in the voice of "Mbaga Jr"
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mwanamke kama hataki kutoa huduma na wewe sitisha huduma
 
Hiyo akiba yako, katumie ata kuotesha miti unaweza ukavuna mbao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…