naomba msaada make nilichomeka USB kwenye camera na kwenye laptop matokeo yake camera imeziama na kuacha lens nje kama kuna mtu anaweza kutatua tatizo hilo naomba msaada