Vipi umeliwa mkuuHu mpira unacheza siku ngapi mbona kama unachana mikekaView attachment 1084206
Bdo ila sielewi kbsa yani
Game iko dakika ya 81 na matokeo ni 2-2 kwa sasaHu mpira unacheza siku ngapi mbona kama unachana mikekaView attachment 1084206
3-2 Zwolle kapata la 3Game iko dakika ya 81 na matokeo ni 2-2 kwa sasa
3-2 Zwolle kapata la 3
Yah! Game iliisha hivyo hivyo.Na game imeisha hivyo...