Hi massage inamanisha nini?

Sanja

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
499
223
samahani sana naomba mnisaidie maana kila nikilogin OLAS site(HESLB) kuna msg
"A Database Error Occurred
Error Number: 1146

Table 'olashes_olas.prospectivetracker' doesn't exist

SELECT * FROM (`prospectivetracker`) WHERE `registerid` = '4182'" nimejaribu kubadili hadi cafe na muda wa kulogin hadi usiku au alfajiri lakini same msg. Hii msg inamanisha nini hasa na nifanye nini ili ifunguke? HELP P'SE
 
Unaweza kuelezea kidogo mkuu ili tuwe pamoja au unamanisha wajanja wana interupt information flow au server za bodi

Mi nakushauri tu kama upo dar ni bora uende ofisini zao wanaweza do smthng,ukisubiria hiyo site...litakuchwea!!
 
Hata mimi nilipofeed detail zangu kwa mara ya kwanza nilipata hitilafu kama hiyo. Nikajaribu tena baada ya masiku kadha mambo yakawa poa.. Ukiona unachelewa waibukie bodi ukawachachafye!
 
samahani sana naomba mnisaidie maana kila nikilogin OLAS site(HESLB) kuna msg
"A Database Error Occurred
Error Number: 1146

Table 'olashes_olas.prospectivetracker' doesn't exist

SELECT * FROM (`prospectivetracker`) WHERE `registerid` = '4182'" nimejaribu kubadili hadi cafe na muda wa kulogin hadi usiku au alfajiri lakini same msg. Hii msg inamanisha nini hasa na nifanye nini ili ifunguke? HELP P'SE

Dah hii kasheshe yaani error inaanika wazi tables na field za database. Hili ni tatizo. Web site kama hizi rahisi sana kuwa hacked. Mambo kama haya wanaojua code na SQL wanaweza hata kuedit taarifa za kwenye database yao kwa back end bila wao kujua.

Nadhani hii error itakuwa kwenye server side eg Php ina syantax error ya kuita table husika. Nothing user/client side can do.
 
mtazamaji why dnt u suggest something to Heslb?ili wabadilike,no body wants the site 2 b hacked
 
teh website hyo labda wako underconstruction jaribu cku nyingine maana hyo database IKO PROGRAMMED SO IKISHINDWA KUKULOGIN MEANS KUNAMATATIZO KWENYE HYO WEB<kiufund<It>>test another day website nying weakend tyme huwa wanazifanyia marekebisho
 
mkuu ndio system za kitanzania izo, hapo imepita kwa system orditors wakasema ni safe, this is a serious security issue! kuleta chaleges huwa tunazizingua tu(tunazihack) bila kuleta madhara - inakubalika hiyo, so kama unaweza izingue ila usisababishe hatari, watafatuta wataalam sio kupitisha system zenye makosa kibao, siamini mtu kashindwa kugonga erorr handler simple kiasi icho!
 
samahani sana naomba mnisaidie maana kila nikilogin OLAS site(HESLB) kuna msg
"A Database Error Occurred
Error Number: 1146

Table 'olashes_olas.prospectivetracker' doesn't exist

SELECT * FROM (`prospectivetracker`) WHERE `registerid` = '4182'" nimejaribu kubadili hadi cafe na muda wa kulogin hadi usiku au alfajiri lakini same msg. Hii msg inamanisha nini hasa na nifanye nini ili ifunguke? HELP P'SE

site under construction please check back with us later..
Source,
shangaz angu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom