R Rafiki Mtz Member Joined Jul 28, 2014 Posts 23 Reaction score 5 Aug 1, 2014 #1 Naomba nibishe hodi rasmi maana si busara kuingia ndani bila kubisha hodi angali kuna wenyeji! Hi wakongwe wote! Salute!
Naomba nibishe hodi rasmi maana si busara kuingia ndani bila kubisha hodi angali kuna wenyeji! Hi wakongwe wote! Salute!
M Mpagaze Member Joined Apr 1, 2012 Posts 12 Reaction score 4 Aug 1, 2014 #2 Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu
R Rafiki Mtz Member Joined Jul 28, 2014 Posts 23 Reaction score 5 Aug 1, 2014 Thread starter #3 Mpagaze said: Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu Click to expand... Tunajifunza kila siku mkuu! Asante sana kwa ukaribisho!!
Mpagaze said: Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu Click to expand... Tunajifunza kila siku mkuu! Asante sana kwa ukaribisho!!
Spider JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,641 Reaction score 556 Aug 1, 2014 #4 karibu sana jf
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Aug 1, 2014 #5 Rafiki Mtz said: Naomba nibishe hodi rasmi maana si busara kuingia ndani bila kubisha hodi angali kuna wenyeji! Hi wakongwe wote! Salute! Click to expand... Karibu sana jamvini.
Rafiki Mtz said: Naomba nibishe hodi rasmi maana si busara kuingia ndani bila kubisha hodi angali kuna wenyeji! Hi wakongwe wote! Salute! Click to expand... Karibu sana jamvini.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Aug 1, 2014 #6 Mpagaze said: Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu Click to expand... Na wewe mzamiaji karibu sana jamvini.
Mpagaze said: Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu Click to expand... Na wewe mzamiaji karibu sana jamvini.
M Mpagaze Member Joined Apr 1, 2012 Posts 12 Reaction score 4 Aug 1, 2014 #7 Hehehehehehe asante mwenye jamvi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Aug 14, 2014 #9 krb sana JF....................