big man 26
Member
- Aug 18, 2017
- 10
- 2
Jamani wana jf kwanza habarini.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu au ufahamu wa hii kitu. Mimi nimenunua subwoofer aina sea piano 8800 lakini kila nikajaiwasha ili nisikilize mziki either kwa aux. Fm hata bluetooth huwa inapiga kidogo nakukata mziki ikiwa bado imewaka ina display neno HI-FI. ukiizima uje uiwashe mida inapigapiga mziki dakika kadhaa tatizo linajrudia.
Karibuni kwa kuchangia